Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Mleta uzi atakuwa amebanwa sana na vishoka mpaka eshindwa kupost mwendelezo
 
Kuna Movie ya Mwaka 2014 inaitwa The Fault in our Stars.. Mwandishi wa Kitabu hakumaliza story so wasomaji wawili wakamtafuta Mwandishi aliyekuwa anaishi Holland akawapa invitations wakasafiri and then akagoma kuwaambia nini kilitokea mwisho wa uandishi wa story ya kitabu jibu na hawakuridhika na mwandishi... and kumbe Mwandishi alisharukwa na akili kwa silimia kadhaa so akawa mnywaji tu muda wote...
1622044556333.png

1622044595739.png
 
Kuna Movie ya Mwaka 2014 inaitwa The Fault in our Stars.. Mwandishi wa Kitabu hakumaliza story so wasomaji wawili wakamtafuta Mwandishi aliyekuwa anaishi Holland akawapa invitations wakasafiri and then akagoma kuwaambia nini kilitokea mwisho wa uandishi wa story ya kitabu jibu na hawakuridhika na mwandishi... and kumbe Mwandishi alisharukwa na akili kwa silimia kadhaa so akawa mnywaji tu muda wote...View attachment 1798526
View attachment 1798532
Popote pale ulipo, salamu zangu zikufikie Keagan Paul, natumaini uu mzima wa afya.
 
Sijui aisee, lakini hii trend ni kubwa sana kiasi ukiona simulizi unaiweka kwenye category ya haitaisha ili usiwe dissapointed isipoisha.
Nakuelewa bro.
Ila kuna mmoja kaimalizia kisa chake majuzi, lkn kilianza mwaka 2017, kwa hio alileta mrejesho.
Ni kwamba alivurugwa na binti, kaenda kulipiza kisasi. Imagine kutoka 2017, mtu kaleta mrejesho 2021.
 
Nilikiona aisee, mara kadhaa kuna wachache wanamaliza, ila wengi huwa wanakimbia katikati.

Nafikiri wengine wanakuwa wanakopi sehemu au visa ni vya kutunga, hivyo wakiulizwa maswali wanaamua kuacha.
 
Ninaomba link nipitie na mm
 
Nilikiona aisee, mara kadhaa kuna wachache wanamaliza, ila wengi huwa wanakimbia katikati.

Nafikiri wengine wanakuwa wanakopi sehemu au visa ni vya kutunga, hivyo wakiulizwa maswali wanaamua kuacha.
Possible. Nadhani kukopiana kumo sana, ndio sababu haziishi
 
Back
Top Bottom