Bwii89
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 1,001
- 1,025
Woii!Story iko telegram jamani kujiunga 2000 tu uhondo unanoga huko sio poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woii!Story iko telegram jamani kujiunga 2000 tu uhondo unanoga huko sio poa
PASSPORT unayo?Mi nataka kuzamia Sweden msaada pls.
Popote pale ulipo, salamu zangu zikufikie Keagan Paul, natumaini uu mzima wa afya.Kuna Movie ya Mwaka 2014 inaitwa The Fault in our Stars.. Mwandishi wa Kitabu hakumaliza story so wasomaji wawili wakamtafuta Mwandishi aliyekuwa anaishi Holland akawapa invitations wakasafiri and then akagoma kuwaambia nini kilitokea mwisho wa uandishi wa story ya kitabu jibu na hawakuridhika na mwandishi... and kumbe Mwandishi alisharukwa na akili kwa silimia kadhaa so akawa mnywaji tu muda wote...View attachment 1798526
View attachment 1798532
Sababu hasa ni nini Jombaa?70% ya story za humu haziishagi.
Hii iko kwenye hiyo idadi.
Sababu hasa ni nini Jombaa?
Nakuelewa bro.Sijui aisee, lakini hii trend ni kubwa sana kiasi ukiona simulizi unaiweka kwenye category ya haitaisha ili usiwe dissapointed isipoisha.
Nakuelewa bro.
Ila kuna mmoja kaimalizia kisa chake majuzi, lkn kilianza mwaka 2017, kwa hio alileta mrejesho.
Ni kwamba alivurugwa na binti, kaenda kulipiza kisasi. Imagine kutoka 2017, mtu kaleta mrejesho 2021.
Ninaomba link nipitie na mmNakuelewa bro.
Ila kuna mmoja kaimalizia kisa chake majuzi, lkn kilianza mwaka 2017, kwa hio alileta mrejesho.
Ni kwamba alivurugwa na binti, kaenda kulipiza kisasi. Imagine kutoka 2017, mtu kaleta mrejesho 2021.
Possible. Nadhani kukopiana kumo sana, ndio sababu haziishiNilikiona aisee, mara kadhaa kuna wachache wanamaliza, ila wengi huwa wanakimbia katikati.
Nafikiri wengine wanakuwa wanakopi sehemu au visa ni vya kutunga, hivyo wakiulizwa maswali wanaamua kuacha.
PASSPORT unayo?
Michakato ya visa umefuatilia mkuu?Ndio
[emoji23][emoji23][emoji23]umeandika kwa uchungu!
Fanya na wewe utoke Dar, ubadili jiji[emoji23][emoji23][emoji23]
nataman sana mwanangu tatizo[emoji116]Fanya na wewe utoke Dar, ubadili jiji