Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Comment yangu kukosa hustle tu imekuwa matatizo [emoji3] kwani lazima kila siku tuteseke?

Anyways.... Jambo iko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio lazima tuteseke aisee



ww ulienda ukala bata lako ukageuka bongo....sio lazima tuteseke aisee

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nashangaa watu kunivamia jamani! nimeeleza tu ka experience changu cha mdada kunisemesha mwenyewe halafu baada ya hapo kunikaushia kama sio yeye πŸ˜€. Labda nilitakiwa niseme kwa maneno machache tu kuwa kuna mdada alinitaka stori baada ya hapo hakutaka tena stori, sasa sijui ningeeleweka?
 
Naomba ufafanuzi huwa naona hizo T1, A1, N2, kwenye vibao barabarani, huwa na maana gani!?
 
Haha haha piga kazi wew acha uoga
 
Mzee wa fursa, utauza au utavigawa bure!?
 
nimecheka sana wana walivyomaindi......et pandisha hilo pajama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



watz tuko na stress sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
nimecheka sana wana walivyomaindi......et pandisha hilo pajama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



watz tuko na stress sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hahah imagine kati ya mambo yote wameona pajama tu. Nafahamu sana walichokuwa wanataka nami sijataka kuwapatia!

Mpigie simu keagan aje basi.....
 
Duh, mkuu ushajipanga kabisa? Huogopi sembe mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…