Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Ukiwa na familia kwa mwanamke inaleta ugumu kiasi tu ila Kuna watu wanna maamuzi magumu [emoji23][emoji23][emoji23] na ungejua nilipo saiv hata usingenijibia kabisa,
Embu ninon'goneze umejificha wapi aisee?
 
Noma [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kuna jamaa yangu yeye huwaga anaenda huko ukimsikiliza anakutia moyo ukiwa na ela kidogo Dubai hata izo 4 day's uta enjoy sana, tafuta mtu mwenye ako na experience huko akupe moja na mbili za bajet yako
Shogangu mamake anaendaga dec kupumizka..mama anajiweza balaa ...so ametumotivate sana twende na wanetu ....khaa mzee wa 70 yts anaenda iweje ss tushindwe...tunapambana hata hela zavikoba tutakopa twendeeee🤣🤣🤣
 
Ahh
Hiyo ni spirit ya upambambanaji mihuri iko kwenye damu Mara chache sana kukuta mchaga asiye mchakarikaji...ndio maana wako wanaojivunia kuoa wanawake wa kichaga....n jeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…