Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Hao wanaigeria ujuaji wao unawacost kila sehemu hawakubaliki kutokana na tabia zao za kishenzi,utapeli,wizi etc
Kinachosababisha wakimbie kwao ni umasikini na kwa sasa nchi yao hali ya kisiasa sio nzuri muda wowote kitawaka
Hii mentality unatoa wapi boss? Hakuna anaekimbia utajiri kwao
ni kama huwajui/ulifanya kusikia tu kijiweni, pamoja na ushenzi unaousemea lakini bado ni wamoja
 
Umeongea point kubwa sana. mimi nilijilipua kwenda ughaibuni ikiwa na watoto wangu nikasema mambo yatajulikana mbele ya safari. Alhamdulilahi Mungu wa wote njia zilifunguka. Cha msingi ni kujilipua leo na si kusubiri kesho maana kesho haipo na mipango unapanga huku unaendelea kuhassle

true bro
 
Hii mentality unatoa wapi boss? Hakuna anaekimbia utajiri kwao
ni kama huwajui/ulifanya kusikia tu kijiweni, pamoja na ushenzi unaousemea lakini bado ni wamoja
Nimeishi nao...nimefanya nao kazi ...kuna wanaija walikamatwa mkoa X Wakaswekwa lupango... Waliokuwa kumi na 6 ...mshkaji wangu (mnaija mwenzao) yeye yupo njema kifedha ...katika hai kumi na 6 sita pekee ndo aliokuwa anawafahamu Ila alipambana mpaka wote wakarudishwa makwao...
Kila siku anawapelekea msosi.. asubuhi mchana jioni..
Anaenda mahakamani...
Lastly Igbos wote walijiunga kuhakikisha majamaa wanarudishw kwao.
Wana umoja Sana..
 
Wapo mkuu...
Wanafuata raw materials..
Madini ...
Huku Kuna bidhaa kutoka China wanigeria wengi wanaimport ....
Kuna wachina pia..
Pakistanis
Indians...ndo usiseme ...pesa bongo ipoooo
Yani kama Shant Town Moshi wazungu ni wengi Sana wanaishi huko, pia maeneo ya double road wahindi wanamaduka makubwa haswa na migahawa (mfano Milan's restaurant) ya mhindi mmoja ni ndogo lkn wateja ni wengi sana tena watu wazito [emoji91][emoji91]
 
Nimeishi nao...nimefanya nao kazi ...kuna wanaija walikamatwa mkoa X Wakaswekwa lupango... Waliokuwa kumi na 6 ...mshkaji wangu (mnaija mwenzao) yeye yupo njema kifedha ...katika hai kumi na 6 sita pekee ndo aliokuwa anawafahamu Ila alipambana mpaka wote wakarudishwa makwao...
Kila siku anawapelekea msosi.. asubuhi mchana jioni..
Anaenda mahakamani...
Lastly Igbos wote walijiunga kuhakikisha majamaa wanarudishw kwao.
Wana umoja Sana..

Unataka kunambia kuna wanaijeria wengi hapa bongo? Makazi yao hasa ni wapi? Na wanajishughulisha na nini wengi wao?
 
Ukija kuendelea pia udokeze kidogo namna ulivyofanikiwa kuongeza muda wa kibali chako kukaa huko (maana mwanzoni ulisema ulipewa kibali cha mwezi mmoja tuu). Na harakati zote hizi, na assume kuwa mwezi ulishaisha kitambo. Au kuextend muda wa kibali ukiwa huko sio issue sana?
Otherwise, ni story very interesting na yenye mafunzo mengi sana kuhusu harakati za utafutaji na kujilipua kwetu vijana.
Keagan Paul
kwanini una m-preempt, si usubiri?
 
Hii mentality unatoa wapi boss? Hakuna anaekimbia utajiri kwao
ni kama huwajui/ulifanya kusikia tu kijiweni, pamoja na ushenzi unaousemea lakini bado ni wamoja
Nimeishi nao nawajua vizuri sio hao tu,asilimia kubwa ya west African kupata viza ya Europe au USA ect ni ngumu sababu ya tabia zao,unasema ni wamoja wanabagua sana kama hujui
 
Yaaani tumetengenezwa kizazi cha uoga sana na kuwaza mipango mipango mipango mpaka mtu anazeeka alikua anapanga tu

Huko serikalini sasa ndo kila siku mchakato,Tuko mbioni,upembuzi yakinifu,tunaandaa mpango mkakati mpaka kitu kije kufanyika mshachelewa sana

Kwa hili aisee ndo nilimkubali Msee Marehemu. Mipango hakuna unajilipua kila kitu kitajulikana mbele kwa mbele. Ukishakua na hii spirit lazima utapata njia tu ya kutatua ya huko mbele

Wanaijeria nawafahamu vizuri sana wale jamaa yaani wahalifu,wanafanya kazi halali,majinias,waliosoma,kina kalume kenge wale ni kujilipua tu hawaogopi kitu na inawasaidia sana kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja na kwa familia pia

Wakenya nao hawako nyuma na wanajua kushikana mikono sana....yaan US mbongo ukiongea Lafudhi tu wanadhani Mnaija😂😂

Sie tumejifungia huku nyumbani Madibila tunakula Pitiku na ugali tunaridhika tunaogopa
Inasemekana Wanaijeria kama milioni 35 wapo nje ya nchi
 
Nilijua tu lazima mtoto wa kike ulikutana na bwana ukaolewa....ninyi wanawake mnaojilipua mna hii sijui niite advantage!

Hii ni mbinu nimeona wamama/wadada wengi wanaitumia, si Wabongo hata mataifa mengine na mkishaolewa hata makaratasi mnapata haraka tu...
Ndio advantahe yao akishaanza kutpa doggy style zq kitanga uko majuu wazungu wanapagawa na nilichp gundua mademu wa bongo wazur sn kwa shape hata sura wazungu bado sn wenyewe wanaota english figure sisi huku midambwandq kwendq mbele
 
Back
Top Bottom