Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

ukisoma comments humu utagundua hii nchi ilitakiwa iwe shamba kama mashamba mengine yaan unatoka south na jembe unakuja tz kulima jion unageuza unarud bondeni

Mzimu wenu Nyerere si alifukuza wazungu!
 
Hahaaa ashera umeua..uahaa u made my day....ila umeandika maneno mazuri...kila kitu kizuri lazima ukihangaikie kukipata...iwe kazi au biashara lazima ujikunje...all the best
 
Heheheheeee pele limepata mkunaji, Asante mpenzi kwa msisitizo nimescreeshot hii comment yako manake si mchezo hao watu kama usemavyo ushindani Ni mkubwa hudanganyi hebu nijisogeze piemuni rasmi😍😍
Kale madesa dogo...ukikomaa nipe na mm...
 
Hahaaa ashera umeua..uahaa u made my day....ila umeandika maneno mazuri...kila kitu kizuri lazima ukihangaikie kukipata...iwe kazi au biashara lazima ujikunje...all the best
Sio wote wenye roho hizo, kuna jamaa pale Buzwagi alikuwa yupo vizuri sana, akaamua kuvuta lisimbe la Tabora likamuua na kujitwalia mali yote ya Marehemu Gold diggers wengi ni hatari.
 
Daaah hapo kwenye tako la Kanya najaribu kujenga tathmini
 
Aisee!Wanawake
 
hahaa utawasikia mletauzi kunapahala umekosea [emoji38][emoji38]au utaskia kunasehem umeparuka hahaaa sasa unajiuliza huyu mjuba alikuanamsimuliaji hichokipindi yakimtokea[emoji849]
 
Kwa maana iyo kuanzia yule mshikaji wako na dada yake mpka vaileth na wengineo wa saloon wanajua huu mtandao kwa lugha nyepesi wanajua ulikuwa unapelekwa wapi.... ovaaaaa[emoji850]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…