Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Hiyo huzungushi..duh ..wanawake tunaweza !
Tena yule jamaa alikuwa Smart mchapakazi na jamaa yangu wa karibu

Alikuwa akinisifia kuwa yule Msimbe Mlugaluga alikuwa anajua kujipinduapindua sana kitandani nami nikamwambia Enjoy life Bromaisha yenyewe mafupi haya
Sikujua kuwa jamaa yangu alikuwa akilala na Koboko
 
Safi sana mkuu
 
Kwa story hizi za utafutaji na ambazo nawakubali sana wote wapambanaji, kwa upande wangu naweza tu kusema ‘ I’m blessed’ kuwa ktk mazingira haya haijalishi kuna changamoto zipi za siku hadi siku
 
Yeah Cape to Cairo is on my Bucket List

Kwa kuanza kufahamu njia nilianzaga na utalii wa Rovos Train kutoka South mpk Bongo

Kuna watu nilikutana nao mle wanapiga sana Cape to Cairo tena wengine kwa Pili piki najipanga na mie ntafanya hata mara moja
Pikipiki sio poa hasa wale wenye vifua vya fegi. Nilikutana na Mkenya mmoja alikuwa na pikipiki ya BMW hizi za adventure yule mjinga barabarani alikuwa anatembea kama upepo alitupita, kuja kumkuta yupo boda wanazinguana na afisa usalama, wakati tunapiga story akaniambia capetown moja hiyo.
 
Anakustress uweke hiyo maliasili ya kimataifa aione hata kwa picha haujawajua vijana hawa tu wakisikia mbuga ya wanyama imesheheni maliasili ya kimataifa wanawaza kutalii tu ndio akili yake huyo
Hahaha umesema sana mkuu. Huyo Madame B hana lolote. Alafu anafika mbali zaidi anatuchafua sisi kama waarabu kutumbia tuna tabia mbaya wakati tako lenyewe hana. Ingekuwa simjui ningesema anatafuta cheap popularity. Ila madam ni mkongwe humu sijui kaweje siku izi ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…