Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Hahahaha acha tu kuna utalii mwingine raha sana. Haswa kama ni mtu mpenda magari

Wiki kadhaa zilizopita mdogo wangu kafanya utalii wa kuzunguka mikoa 22 ndani ya siku 13 kwa gari na mie nataka nimlipe

Kaanzia Mbeya-Tdm-Swanga-Mpanda-Kigoma-Bukoba-Chato-Geita-Mwanza-Shy-Nzega-Tabora..Then Tabora-Sgd-Babati-Arusha-Moshi-Tanga-Bagamoyo-Dar-Lindi-Mtr-Songea-Njombe-Makambako-Mbeya.

Mwisho wake mwaka huu nataka nilipe nipige mikoa yote ya bara na Mbuga zote za Tanzania kwa mwezi mmoja
Uongo au kweli?.

Kama alifika mwanza kwa nini alishindwa kuingia musoma ili route itimie..?.
 
Potea zako bhana wewe.
Usinitishe.
Wewe nani mpaka nikuogope....
Narudia tena, punguza genye kwenye post za watu.

Na kama unataka kunitafuta karibu...
Niko verified member, najulikana.....afu sijali lolote.
Tusitishane.
Huwezi kuita mtu mpuuzi ilhali unamjua via keyboard.
Narudia tena...peleka shobo zako akhera, duniani tumejaa.
Ukiona nakuboa...ni-ignore babu weeee....kwani sh ngapi?

Karibu uwanjani....
Nima bando la mwezi mzima
Tulia Mrembo I Know You Know
 
Mie had nifight by hooks n crooks .bila hivyo hakuna kitu..mie mtu nayemwangalia kama mentor wangu ni dingilai..ukiskia mtu anapata hela akiwa amekaa anachek aljazeera ndo yule ..yaan kuna flow ya hela inaingia amekaa tu..nayataka hayo maisha!nimechoka sana kukimbizna na mibasi road[emoji24][emoji24][emoji24]! Kidg mwanga nauona ...najipa mwaka m1 nijitwe mkurugenzi....[emoji1787][emoji1787]! Itumie bahati hiyo vzr
Wakishua[emoji39][emoji39]
 
Hana lolote mshamba tu atawababaisha washamba wenzie hana lolote tako gan la mabonde mabonde ukiwa mshamba kwel utashoboka kwanz na dawa yake inachemka acha aingie kwenye 18 hawez kuja kuharb Uzi kijinga
Nakubaliana na mdau SN.BARRY uzi ulikuwa mzuri sema kuna wajinga wamevamia watukana kila mtu, ujuaji mwingiiii, Kuna mmoja kila kitu anajua, kila kitu anacho Halafu kuna wanaojiuza kijanja
 
Hapo ndipo wengi hawapendi, each second of life passing imehakikiwa na Allah.

Uwiano wa mali ni matakwa yako ila Mungu ana nafasi yake in top of all.
No kaisari No some easy business.
Hiyo inajulikana...kesheni mkiomba
 
Back
Top Bottom