Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Uongo au kweli?.

Kama alifika mwanza kwa nini alishindwa kuingia musoma ili route itimie..?.
 
Tulia Mrembo I Know You Know
 
Wakishua[emoji39][emoji39]
 
Hana lolote mshamba tu atawababaisha washamba wenzie hana lolote tako gan la mabonde mabonde ukiwa mshamba kwel utashoboka kwanz na dawa yake inachemka acha aingie kwenye 18 hawez kuja kuharb Uzi kijinga
Nakubaliana na mdau SN.BARRY uzi ulikuwa mzuri sema kuna wajinga wamevamia watukana kila mtu, ujuaji mwingiiii, Kuna mmoja kila kitu anajua, kila kitu anacho Halafu kuna wanaojiuza kijanja
 
Hapo ndipo wengi hawapendi, each second of life passing imehakikiwa na Allah.

Uwiano wa mali ni matakwa yako ila Mungu ana nafasi yake in top of all.
No kaisari No some easy business.
Hiyo inajulikana...kesheni mkiomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…