Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Kambi ya ZAF LUSAKA Au ile ya pale Ndola??

Mi nimeish karib ZAF base pale ndola kwa mwaka mzima.
 
Hii CHAI HII CHAAI AISE KONDA USITUONE WOTE MAZWAZWA Nmesoma kichwa na sehemu ya 1 nkarefer na ile stor ya khumbu ambapo ulisema bondeni umefika kwa ndugu zako na ulkua na ndugu zako na lengo la kushuka bondeni llkua ni kujiendeleza na elim na ulienda round ya kwanza ukarudi kumalizia Advance bongo then ukarudi tena bondeni LEO UNALETA UZI TENA AAFU UNASEMA HUKUA NA NDUGU??YALEYALE YA MOTIVATION SPIKA enewei hii ni chai kama chai nyngne zlizojaa uko kwenye kula tunda kimasihara
 

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Dah
 
Ujuaji mwingi unesababisha mleta mada ashndwe kuendelea
konda msafi acha kuingilia nyuz za wengine mbona ya kwako watu walikuvumilia
Mkuu acha kuniangushia jumba bovu. Mie hata sihusiki swala la kuendelea au kutokuendelea kwa hii stori. Kama mleta mada hataki kuendelea tafuta sababu nyingine mkuu.
 
Nadhani kila mtu anakushangaa kwa hii coment yako mkuu. Hebu soma vizuri jina la mleta hii thread.
 
Mkuu acha kuniangushia jumba bovu. Mie hata sihusiki swala la kuendelea au kutokuendelea kwa hii stori. Kama mleta mada hataki kuendelea tafuta sababu nyingine mkuu.

Achana na hawa wanaokulaumu kuhusu comments zako

Me nakulaumu kwa uamuzi wako kurud bongo. Wakat wengine tunapata headach kuwazua natoboaje kufika sa. Ww ulirud.

Kwenye uzi wako niliona tunashare baadhi ya interest. Mfano kwenda beach kuchek misambwanda.. sasa huku bongo eti venue ni kidimbwi au kawe beach... hakuna ule mzuka..
 
[emoji104]
 
Hahaaaaa...Mkuu shikamoo!
 
Nakuunga mkono...kuna namna inawezekana konda msafi kaamua kuja na huu uzi kivingine akitumia ID nyingine kongwe....

Sababu kuna flow ya uandishi story inashabihiana pia toka mwandishi wa hii story akate mguu humu..@konda msafi amekua active., kipindi kile mwandishi yuko active konda msafi alikua kimya.

Kuna ka similarity hapa...inaonekana tunachezewa akili.
 
Mkuu soma substence ya comment yangu. Pitia mara mbili tena labda utanielewa nilichoandika.
Mkuu kiukweli unaonekana upo sahihi mtoa story kuna vingi anaongopa huwezi ishi nchi kama south africa alafu uwe unabahati kiasi icho huu uongo wa kiwango cha sgr yaani atoke ndani ya south alafu arejee wasimkamate sio kweli kwakua wabongo wengi wanataka story za vijiweni hawataki mtu akosolewe au arekebishwe sehemu akijikanyaga
 
Akitolea ufafanuzi nitag
 
Mbona kuna sehem kaelezea kuwa alitumia njia za panya?
 
Ntu nne alaf dereva nani?
Dereva anakuwa kati ya hzo ntu nne,utamu zaidi inabid mmiliki wa chombo asiendeshe gari awe ametulia na chombo chake wanachombezana tu safar nzima
 
Duh Mkuu unalilia Story??? Jamaa anatafuta kitoweo wewe unamlaumu... utamlisha aje amalizie mkasa? tulia Mwenzio alitumia siku kibao kusafiri na alishinda nje akimsubiri mtu aliyemuahidi kumpokea akavumilia wewe umekaa kwako unaona jamaa ala late??? vumilia ni haliya dunia... sio kila safari ukipanda daladala ufike hadi kituo cha mwisho sababu umelizie nauli yako shukia karibu tu na kwako yatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…