Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Naona lengo la uzi linapotea maana chat kama zote........... So mbaya tubadili jina la uzi
 
Wewe Ni mtunzi kama kina iron mosenya?
 
PK ungeweka link hizo za shemu ya 10 na kuendelea ,Mimi nimeishia Sehemu ya 15 hizo nyingine siwezi kuzitafuta Aisee.
 
Sio Msimbati ni Kilambo..

Kilambo na Msimbati ni sehemu mbili tofauti..
 
Wabongo kwa ujuji, Mnajifanya wachambuzi sana kumbe makenge tu
 
Kabisa mkuu.. Hii tabia sio nzuri..
 
Mkuu weka weka na uongo kidogo story inoge unaweza kusema ibada tulifanyia mlimani na huo mlima ulikuwa mrefu kuliko Mount Kilimanjaro au sio!
 
Wasudani wa Khartoum wanajua kutengeneza Ndagu acha kabisa.
 
Watu wameenda kumfukunyua Girl wake Facebook na ukute kuna baharia kazama hadi inbox na kumpa link ya uzi wa jamaa na jamaa alipo anasolve ugomvi kwa kumuanika mtoto wa watu huku

Mabaharia wanatupia ndoano wanamsemea kwa Kanya kuwa anatoka na banker ili wawin moyo wa Kanya


Hahahahahahah
 
Ww sio hadhi yangu binti nikisema nikutane na ww utajificha kwa aibu au kuzima simu kabisa ww endelea na hao wanakufata PM huko mm nipo mbali sana na ww
Nijifiche kwani wewe kifo.
Relax, huu mchezo hautaki hasira bro.
Kwanza nishajizoeaga siku nyingi kuhusu nyie viumbe kuanzia insta, fb mpaka huku.
Unadhani utasema wewe wa hadhi ya chini...thubutuuuu!!!!
Ww sio hadhi yangu binti nikisema nikutane na ww utajificha kwa aibu au kuzima simu kabisa ww endelea na hao wanakufata PM huko mm nipo mbali sana na ww
hii afu ya moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…