Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Mie hata siwezag soma stry za kinamna hii najiona kama utoto..lol..so.uko interested balaa..nimesoma episod 3 nikaona utoto..sijui why!
Kama uliona utoto.mbona bado upo hapa??watu wengine.kujimwambafy tuneti utoto Sasa si upite kimya kimya kwani umeitwa.Wala hujasomq mpaka alipofika eti utoto na bado upo humu humu.
 
tufunge mjadala swala la jamaa kuhusu viza kuisha kuingia lesotho.
rushwa tunayo ijua tz sio rushwa inayoa anzia mpakani mwa zambia na tz yani hapo boda utajua tu sasa hapa kuna nuka rushwa unapotoka tanzania,askari na idala zote tena ngozi nyeusi ni tatizo.
rushwa imekisili kuanzia zambia,zimbabwe mpaka south yani border kama huna pesa hapo betbriji unapita japo kuwa na boda kali.
na wanangu ambao hawana hata passport kila mwaka wanakuja na kurudi.
mimi nimeishi na mda ulikwisha na ni lilipa rand 500 inavushwa boda ina gongwa kutoka na kurudi na safi ,ila ukitumia airport inaweza kukuzingua ila boda za barabara huko ni rushwa kwenda mbele.
sio mzuri sana wa kuandika ila maisha ya kule kama GTA -5.rushwa imetawala sana kwa watu weusi,ufanye kosa ukikuta mtu mweusi askari unampa chake ili kukuacha na nimeona sana.
 
Ni mwenyewe aliianzisha
 
Watu washafukua kaburi kilichobaki ni kuchange ID kwishnei
 
Halafu kumbe alikaa Mwezi Sauzi akarudi kula kulala kwao Buza

Kwenye ile Stori anawaponda akina Ibra kwa kupiga kazi kumbe yeye ni Kula kulala bure
 
Kama uliona utoto.mbona bado upo hapa??watu wengine.kujimwambafy tuneti utoto Sasa si upite kimya kimya kwani umeitwa.Wala hujasomq mpaka alipofika eti utoto na bado upo humu humu.
Aliyekuambia nasubiria episodes zake nan...mxiew
 
Naona harufu mbaya hapa unataka kumkimbia jamaa sababu kafukuzwa kazi?
Kwani issue yako ya juice ofisini si inaendelea vizuri
Nan kafukuzw kazi mzee baba! Juic si ilikua miaka ya 2015 huko? Nimkimbie ili iweje? Uwe unasoma unaelewa..unaleta mambo ya nyuz zingine nikimbie niende wap...! Hebu soma vzr uwe unaelewa..nakimbia au nataka kutoa gundu
 
Halafu kumbe alikaa Mwezi Sauzi akarudi kula kulala kwao Buza

Kwenye ile Stori anawaponda akina Ibra kwa kupiga kazi kumbe yeye ni Kula kulala bure
Mleta uzi hakuna sehemu ameandika kuhusu kurudi kwake usimuwekee maneno mdomoni
 
Endeleza story mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…