Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Leta story mjuba
 
Aisee! Mumsamehe jamaa, labda atakuja na maelezo kuhusu hili. Binafsi huwa sipendi to jump to conclusion. Tumsubiri kwanza aje huenda akawa na maelezo mazuri ya kujustify hii kitu.

Konda msafi! Kwa miswali mliompiga, pamoja na huu ufukunyuaji uliofanyika.

Akirudi kusimulia nakunya!
 
Poa
Nan kafukuzw kazi mzee baba! Juic si ilikua miaka ya 2015 huko? Nimkimbie ili iweje? Uwe unasoma unaelewa..unaleta mambo ya nyuz zingine nikimbie niende wap...! Hebu soma vzr uwe unaelewa..nakimbia au nataka kutoa gundu
 
Mkuu hapo ni south Africa au Mabatini Tandika?
Mkuu kama haujavuka boda, bado akili yako itakuwa imefungwa. Na hiyo ndio sababu ya wabongo wengi kulalamikia mitandaoni huku wenzetu wakenya, na waganda wakiendelea kutatua boda moja baada ya nyingine. Ni hivi mkuu.. Unapokuwa ktk nchi kama hizi ili upige hela kupitia biashara yako halali au haram unatakuwa uzame location huko ambapo hamna maduka mengi kama town kwa lengo la kutoka kimaisha. Ila kama umekuja huku kupiga picha kweny magorofa na kutuma bongo hapo unaweza kung'ang'ania town hata kama hauna shughuli ya kufanya. Waethiopia, wasomali na hata wapopo nao siku hizi wanakimbilia location kupiga hela huku wabongo wenye mawazo kama yako wakibaki mjini wanazurura tu. Ninaposema location namaanisha ni sehemu ya pemben na mji kidogo lkn sio kijijini kama msamvu au mwanalumango. Na picha hiyo nakuwekea mkuu nafikiri unaiona sehem yenyew

 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wa JF usipomalizia story tunaiendeleza wenyewe
 
T
Kaanzishe uzi wako ndo ulete masharit ya kutokucomment,mim nasoma zaid comment kuliko story,kwenye comment nainjoy na najifunza mengi sana
 
Comment bora kwangu hii...mleta uzi halipwi inakuaje unampangia muda wa kuja kuandika? Aache kaz zake kwa sababu yako? Kuna alielazimishwa kusoma? Wabongo bana!! Acha mtu aandike muda atakaopata sababu huwezi jua ana emergency gani

Mkuu hongera sana
 
Nilivyoona uzi umesonga page za kutosha nilijua msumuliaji ameweka episode za kutosha kumbe katoka nduki,mods ufuteni basi uzi usio na mwendelezo,unatupotezea muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…