imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Anasema yuko KWAO Buza mtu akisema hivyo inamaana hayuko KWAKE.Ah wapi..mnamhukumu mno...mie nataka jua alitusua? Kama karudi bongo🙄!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasema yuko KWAO Buza mtu akisema hivyo inamaana hayuko KWAKE.Ah wapi..mnamhukumu mno...mie nataka jua alitusua? Kama karudi bongo🙄!
Ghafla mmemgeuka..hahaaa wabongo noma
Alirudisha mpira?doh...au ndo hizi permission kakosa..hatariAnasema yuko KWAO Buza mtu akisema hivyo inamaana hayuko KWAKE.
Post in thread 'Uzi maalum wa Harakati za kutafuta maisha nje ya nchi na changamoto ulizokutana nazo' Uzi maalum wa Harakati za kutafuta maisha nje ya nchi na changamoto ulizokutana nazoMleta uzi hakuna sehemu ameandika kuhusu kurudi kwake usimuwekee maneno mdomoni
Post in thread 'Uzi maalum wa Harakati za kutafuta maisha nje ya nchi na changamoto ulizokutana nazo' Uzi maalum wa Harakati za kutafuta maisha nje ya nchi na changamoto ulizokutana nazoNi mwenyewe aliianzisha
Leta story mjubaAiseeh!!
Watu wanachizika sana na stories za South,one day (sijui lini) nitaleta story yangu kutoka Bongo kupitia Mozambique (Msumbiji) kwenda South,niliyokutana nayo Mozambique,kukamatwa na wajeda boda,kuruka 'nyenge',maisha yangu eManguzi Mbazanwa then harakati zangu ndani ya Johannesburg hasa hasa Jozi!!! South sio poa!!!
Samahani kama nitakuwa nimeingilia thread ya mwana kwa namna yoyote ile, mizuka tu yaani!!
kipunga, umenichekesha sana aiiisee noma🤣🤣🤣🤣🤣Nimekutana na msimuliaji wenu amelewa chakali anatukana hovyo mtasubiri sana wananzengo laleni
Aisee! Mumsamehe jamaa, labda atakuja na maelezo kuhusu hili. Binafsi huwa sipendi to jump to conclusion. Tumsubiri kwanza aje huenda akawa na maelezo mazuri ya kujustify hii kitu.
Nan kafukuzw kazi mzee baba! Juic si ilikua miaka ya 2015 huko? Nimkimbie ili iweje? Uwe unasoma unaelewa..unaleta mambo ya nyuz zingine nikimbie niende wap...! Hebu soma vzr uwe unaelewa..nakimbia au nataka kutoa gundu
Mkuu kama haujavuka boda, bado akili yako itakuwa imefungwa. Na hiyo ndio sababu ya wabongo wengi kulalamikia mitandaoni huku wenzetu wakenya, na waganda wakiendelea kutatua boda moja baada ya nyingine. Ni hivi mkuu.. Unapokuwa ktk nchi kama hizi ili upige hela kupitia biashara yako halali au haram unatakuwa uzame location huko ambapo hamna maduka mengi kama town kwa lengo la kutoka kimaisha. Ila kama umekuja huku kupiga picha kweny magorofa na kutuma bongo hapo unaweza kung'ang'ania town hata kama hauna shughuli ya kufanya. Waethiopia, wasomali na hata wapopo nao siku hizi wanakimbilia location kupiga hela huku wabongo wenye mawazo kama yako wakibaki mjini wanazurura tu. Ninaposema location namaanisha ni sehemu ya pemben na mji kidogo lkn sio kijijini kama msamvu au mwanalumango. Na picha hiyo nakuwekea mkuu nafikiri unaiona sehem yenyewMkuu hapo ni south Africa au Mabatini Tandika?
Ilipoishia.....
Nywele za Tsheispo zilikuwa zimeangukia mgongoni, chuchu saa sita oclock, guu sasa ndio nilichoka asee, guu nilidhani ni paja la mange kimambi, nikasema hapa keagan lazima leo nimueleze hisia zangu, baada ya kufika pale akesema mbona unaniangalia sana, nikamwambia hapana umependeza sana akacheeka huku tukiongozana kwenda restaurant .
Sasa endelea...
Tulipofika restaurant niliagiza viazi vya kukaanga na kuku Tsheispo yeye aliagiza kuku na juisi basi tulikula weee hadi pale muumini mmoja alipotufata kua tunaitwa na pastor! Tuliondoka na kurudi kanisani nilifurahi sana maana Tsheispo ndie alilipa bili hivo akiba yangu ilibaki salama.
Tulirudi kanisani pastor alisema tujiandae twende tour kwenye national park moja inaitwa Sehlabathebe National Park. Basi tujiandaa na kupanda coaster ambayo ilitumia masaa matatu kufika. Tulienjoy hadi jioni na kurudi pale kanisani tulilala mapema ili asubuhi tuanze safari ya kurudi south.
Sasa tulipofika pale boda ya kuingia south ndo kilitokea kizazaa. Askari wa migration walikua wakali kama wamekula pilipili za mto ruvu hawakutaka kucheka na kima kabisa siku hiyo ndo nilijuta kuwajua makaburu. Waligoma kua siwezi kuingia south maana permit yangu ilikua imeshaisha muda dah! Nilipagawa sana sikujua nifanyeje. Wale wenzangu waliruhusiwa kuondoka, waliondoka na kuniacha pale peke yangu tena chini ya ulinzi mkali kama wa mwendazake! aisee nililia sana nilipojua sitamkula Tsheispo baadae wale askari walinipeleka mahabusu.
Kesho yake nilitakiwa kupelekwa mahakamani lakini huwezi amini kolichotokea askari mmoja alikuja na kuniita kwa nguvu KEEGAN PAULO niliitika kwa uoga naam afande! Yule kaburu alinikata kibao akasema we nyani nikikuita itika Sir nipo Sir. Hilo neno Sir lilimaanisha bwana mkubwa. Basi bwana niliitika kama alivoniekeza. Alitabasamu na kusema njo unifuate nilitolewa nje wakati tunatoka nje nilishangaa kusikia mtu ananiita jina langu kabisa la Keegan Bashite nikazuga kama sijasikia. Mara akanigusa bega na kuniita kwa nguvu we Keegan amka.
Nilishituka sana kumbe nilikua naota. Aisee kumbe aliekua akiita ni Dada wa kazi! alimua akiniamsha nikale. Aisee ndoto za mchana mbaya nilikua nshafika south kimasikhara! Kumbe toka episode ya kwanza nilikua naota huku nakoroma kama jenereta bovu!! Lakini tuache utani Kanya alikua na tako balaa. Ngoja ninywe kiroba nilale nimechoka type. Mwe!!!!..
Mwisho
Kaanzishe uzi wako ndo ulete masharit ya kutokucomment,mim nasoma zaid comment kuliko story,kwenye comment nainjoy na najifunza mengi sanaBasi jamani tupunguze ku comments na maswali ambayo hayana maana yani uzi unajaa comments na maswali mengi pages zinakua nyingi for nothing tuweni wapole tumuachie jamaa uwanja atirirke akimaliza ndo maswali yataanza na yy atayajibu kwa ufasaha kwani stori kashamaliza na anakua na nafasi yakujibu maswali tuuu.
Tuache tabia yakua na gubu laku comment kwenye kila thread na ww mtoa story umekua kimya sna tunaamini utarudi kwa kishindo na utakua umejitahidi kuimalizia hii story au kama imebaki itakua ni kidogo sana. Jitahid uimalizie story uliyo ianzisha hakika tume furahishwa nayo na nakupongeza kwani mpaka sasa umejitahid kuchambua vzr sanaaa.
Basi waungwana naitishe kusema tupunguze comments ambazo kimsimgi hazina maana na kama unaswali subiri amalize story yake baada ya hapo tutakua na uwanja mpana wa kuuliza na kujibiwa maswali yetu. Keagan Paul jitahidi leo usitu pitishe mswaki.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wa JF usipomalizia story tunaiendeleza wenyewe
Comment bora kwangu hii...mleta uzi halipwi inakuaje unampangia muda wa kuja kuandika? Aache kaz zake kwa sababu yako? Kuna alielazimishwa kusoma? Wabongo bana!! Acha mtu aandike muda atakaopata sababu huwezi jua ana emergency ganiDuh Mkuu unalilia Story??? Jamaa anatafuta kitoweo wewe unamlaumu... utamlisha aje amalizie mkasa? tulia Mwenzio alitumia siku kibao kusafiri na alishinda nje akimsubiri mtu aliyemuahidi kumpokea akavumilia wewe umekaa kwako unaona jamaa ala late??? vumilia ni haliya dunia... sio kila safari ukipanda daladala ufike hadi kituo cha mwisho sababu umelizie nauli yako shukia karibu tu na kwako yatosha.