Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Hii stori,Imetaja mtandao wa drugs,na imemtaja Vaileti wa Matonya so kwa ufupi jamaa yuko na jamaa wa kupambana na mihadarati anasaidia.THE end
 
Nina jamaangu mmoja ni mnaija, tulijuana alikuja bongo ana demu wake ni Mtz.. jamaa akikuhadithia mpaka kaupata uraia wa US kabisa zile njia ndio nikaamini wabongo bado sana sisi.. jamaa ana passport ya US, dada etu wa kibongo nae kapata sio mtz tena wanakuja kusalimia tu.. jamaa kaoa kabisa na wana mtoto wamepata last year.. anakula tu hela za wazungu, anakwambia maisha rahisi sana US, ushindwe wewe tu
 
Basi kwa kuwa Keagan kasepa zake,mtupatieni links za nyuzi za south za zamani tuoshe macho nasi tafadhali.
 
Tuna uoga wa asili
 
Stori yake inatufundisha tusipapatikie mambo ya watu.....nadhani alivyo ileta hakutegemea kupata wafuasi baada ya kuona tupo mabega yaka panda juu. Akae na stori yake tusichoshane.
 
Aliianzisha on 15 april naona ikabuma akaja na hii mpya ya akina Kanya hio ya kwanza anadai yule muuza ngada ni Ibra halafu anasema yeye ni Muisilamu na alienda kanisani kujifanya ni mkristo hata huwezi kujua kipi kipi Bs tu yaani.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Ila humu kuna kelele sana! Dah.! Kama la 7 C! Wanafunzi someni acheni kupiga kelele, mtihani haupo mbali kama miezi inavyoonekana, ni kesho tutashangaa necta hii hapa!

Huko mtaani mtapata nafasi ya kupiga kelele sana maana maisha ya mtaani ni matam sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…