Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Kwenye hii stori kwa kweli kuna vitu vingi sana vya kujifunza hasa kwa wale wenye ndoto za kwenda Afika ya kusini kusaka maisha, kuna watu wanachukulia kama hadithi ya kimapenzi mapenzi lakini katika uhalisia KPaul ametoa muongozo mzuri kwa wenye nia ya kwenda huko kuanzia toka Tanzania, taratibu za uhamiaji kwenye mipakani ya nchi unazopitia mpaka kufika Afrika kusini. Kuna watu wengine walioko huko SA na ambao walishawahi kufika huko naona hawakubaliani na mambo mengine ambayo KPaul ameyapitia. Mimi ushauri wangu naona bora tungemuacha KPaul amalize stori yake ndipo tuanze kujadili mambo ambayo yana ulakini kwa wengine waliofika huko, kuliko kuyajadili mambo hayo wakati stori bado inaendelea, maana inaweza kumkata stimu akapotea mazima yakabaki mabishano tu. Hata shuleni kwenye vitabu vya hadithi maswali yanafuata baada ya hadithi kuisha.
 
Inawezekana ila ni maisha magumu sana. Huwezi kufanya kazi halali..ukiona tu polisi au immigration wanapita presha inaanza kupanda. Ukipata shida huwezi kwenda polisi maama watajua wewe mhamiaji haramu.. sio kitu rahisi.

Tangia lini maisha yakawa rahisi kwa mpambanaji ni lazima ujitoe kweli kweli bila nidhamu ya hofu
 
Mkuu mie unafiki huwa siuwezi, wewe unge-clear tu doubts zetu then ukaendelea kuleta stori. Haya mambo ya watu kuogopa kuuliza maswali ndio sababu hata nchi yetu imefikia hapa ilipo. Watanzania tulio wengi hatujiamini ndio maana viongozi wetu wanatuendesha wanavyotaka, yaani tuna taifa la ndio mzee hata kama kunahitajika maelezo. Kitu kama hakijakaa sawa wewe kitolee ufafanuzi. Kuna vitu hatuwezi kukubishia kwa sababu kweli kila mtu ana experience yake ila mkuu kuna vitu very technical huwezi kusema kila mtu ana experience yake pia, kuna baadhi vitu lazima viwe common kwa kila mtu. Mfano ni hili la kuoverstay haliwezi kumalizwa kwa rushwa ya rand 300 na likaisha completely kwa sababu ni issue ya usalama wa nchi na system iko linked nchi nzima kuanzia makao makuu ya immigration hadi idara zote zinazohusika na maswala ya uhamiaji. So wakiscan tu passport yako hapo boarder au sehemu yoyote inayohusika na mfumo wa passport control taarifa zako zinaonekana hadi makao makuu ya immigration kuwa kuna mtu kaoverstay anahitajika kukamatwa au kulipa fine whatever the case may be. Sasa huyo immigration officer atakusaidiaje hapo? Hiyo fine atakulipia? maana hiyo fine ni zaidi ya rand 4,000. Na hiyo fine inakuwa registered kwenye system mpaka uilipe ndio iwe cleared la sivyo unakuwa black listed kukanyaga nchini kwao for the next five years. Kwa hiyo hoja kama hii unatakiwa uitolee maelezo ili twende sawa. Kuna watu humu wanafurahia tu stori na vitu kama hivi wanavioverlook kwa sababu either hawavijui kama vipo au wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Halafu hata issue ya kupewa hifadhi na kanisa na yenyewe kuna utata kidogo kama hutajali pia itolee maelezo. South africa inajulikana kwa ujambazi na mauaji hivyo kwa mtazamo wangu sio rahisi viongozi wa dini wakupe hifadhi bila kujiridhisha kama wewe ni mtu salama au la. As a reasonable person nilikuwa nategemea wangekuhoji kwa kina kuhusu uhalali wako wa kuwepo nchini kabla ya kukupa hifadhi, lazima wangekuulizia documents zako kama upo nchini kihalali. Kumbuka hilo ni kanisa na linatakiwa kuheshimu sheria za nchi, hivyo hawawezi kurisk kumhifadhi mtu ambaye anavunja sheria maana ungekamatwa wangeonekana wanahifadhi wahalifu hivyo ingepelekea kanisa kuingia mgogoro na mamlaka za kiserikali na ingepelekea hatari ya kufutiwa usajili wa kanisa lao, mind you Mindrands ni makazi ya watu wenye hela kwa hiyo ni watu wenye uelewa mpana. Samahani wasomaji kama nawaharibia stori yenu ila nimeamua kutokuwa mnafiki kwa kuuliza haya maswali critical.

Kusoma vitabu jinsi ya kuishi south Afrika na kuishi fisical ni tofauti kabisa endelea kusoma vitabu mkuu tuache sisi tutumie elimu ya kitaa! Ni kama mtu anavyokwambia haiwezekani mtu kuwa na passport 3 za nchi tofauti na usikamatwe huwa nasema hiiii! Watoto wa mama bado hawajakutana na changamoto za Dunia hii
 
Mambo ya HongKong enzi hiyo...sijui kama hadi sasa hii michezo ipo...

Maana wabeba ngada wameharibu sana taswira ya Wabongo
Pigia msitari hio sentensi ya mwisho.
Walioharibu taswira ya nchi yetu kwanza kabisa ni uhamiaji, wanawanyima paspoti wanaostahili, i.e. wanaokwenda nje kihalali, na wanawapa wauza ngada. Sasa wauza ngada wanachojali ni pesa na sio kulinda jina la nchi. Wameharibu pakubwa sana
 
Utanyimwa vipi passport mkuu!?,tatizo ukipenda kuwapa maelezo watu wanaotaka pesa utaishia kusaga soli!mkuu passport ukiwa nayo serious unaipata kabla hata jua halijazama kesho yake unatembea
 
🤣 🤣 🤣 🤣 ushamaliza hapo kwenye PESA. Means bila rushwa hujapata gamba
 
Nchi zilizoendelea kiuchumi kama SA kazi za kuajiriwa huwa ni chache sana ,ila mzunguko wa hela huwa mkubwa sana kama ukijishughulisha .Kibaya zaidi miji mikubwa kama Pretoria na Johanesburg maisha yapo tight sana kwa kuwa watu wa kipato cha juu na cha kati ndio wengi maeneo hayo.
 
Daaahh asee hili ni bonge la mkasa mzee
Nakumbuka mwaka 2007 nilikua na ndoto za kwenda dzonga ila sikua na mpunga, kuna jamaa yangu alikua amerudi toka lebanon huko alikua deployed kwenye peace keeping alikua amerudi bongo na fedha za kigeni nikaona kupitia huyu mwamba nitapata nauli nitambae zangu ng'ambo.
Nikawa chawa wa mwamba full kumsaidia kusolve harakati za hapa na pale kutokana na uzoefu wangu wa mtaa
Sasa bhana mwamba alikua na binti mmoja wa kitanga ndio alikua anataka amfanye mkewe ili dingi yake ni mnoko kikuda mchumba ndio alituambia kipindi mwamba anampa idea ya kwenda bumbuli kujitambulisha ,mimi kama chawa nisie na maadili nikamshauri mwamba ampe binti ujauzito ndio tuende ili zoezi liwe rahisi mwana apate jiko na mimi niende zangu ng'ambo.
Mwamba akafanikiwa kurutubisha yai binti kitumbo kikaota ikapangwa safari ya kwenda usambaani kuonana na wazee.
Kufika Tanga tukapokelewa fresh na bimkubwa, na mashemeji kumbe kamanda walikua wanamjua wote kasoro mshua boy tu, na bahati mbaya au nzuri hakuwepo siku hio ikabidi mzee apigiwe simu alikua shambani kwake huko anakaaga hata mwezi bila kurudi home. Alitaarifiwa uwepo wetu akaombwa arudi fasta mzee akaomba aongee na muoaji, mshkaji akatoka nje kuongea na mkwewe, mzee akamwambia jamaa anarudi kesho jioni lakini asitukute nyumbani kwake na hataki kabisa kutusikia, mshkaji kwa tabia zake za kijeshi akamkazia mzee na mikwara ya hapa na pale kwamba hatuondoki tutakaa hata mwezi mpaka arudi tuondoke na mke wetu. Mshua akasema kesho jioni anarudi lakini hatotukuta maana tutaondoka bila kuaga kamanda akasema sawa ngoja tuoneshane umwamba.
Ilifika usiku tukapewa room ya wageni kuna bed mbili kila mtu na lake, tukaangusha na mwanangu ,tulienda na begi moja tu , mchumba aliliweka chumbani kwake kwa usalama zaidi maana chumba chetu kilikua nje,
Kufika mishale ya saa nane usiku niliota ndoto kwamba yule mzee kaihamishia mimba kwa mjeshi halafu tuko leba kamanda anajifungua, mimi na manesi tunamwambia mchizi push! push! Jamaa anapiga kelele kumbe mimi nivyoota hivyo napiga kelele kwanguvu na jamaa naye anaota ndoto hiohio na anapiga kelele za uchungu mara tukashtuka wote mshkaji ananiuliza mtoto wangu yuko wapi nikamjibu kua makini usimlalie kuinuka dah! Mwamba alikua kashusha bonge la kimba mazee halafu hawezi kulikataa yaani kafanana nalo copyright alafu mashuka yote kitanda kizima kilikua makimba tu , nikampa mashuka ya kitandani kwangu ajisafishe tutoroke kabla hakuja kucha maana asingeweza kubadili nguo zilikua chumbani na mama kijacho mjeshi akaniambia kukimbia ni mbinu ya kijesh kabisa wao wanaiita ku retreat.
Tulitoka chumbani mule kwa kucraw mpaka kwenye toyota porte yetu huku mchizi akiwa kajifunga shuka rubega tukatokomea
Tukiwa njiani mwamba ndio akakumbuka conversation yake na mkwe wetu kwamba tutaondoka bila kuaga kama PAUL KEAGAN
Tulifaka town hata mawazo ya kumpiga mzinga wa nauli ya kaisha maana analia tu kama kabinti muda wote
 
Mzee hebu tupe muendelezo wa mahusiana kati ya mjeda na mchumba wa kitanga yaliendeleaje

Ningekuwa mod ningefuta huu Uzi..
Huu Uzi hauendelei Tena ndo umeishia hapo!!!
 
Mkuu mie unafiki huwa siuwezi, wewe unge-clear tu doubts zetu then ukaendelea kuleta stori. Haya mambo ya watu kuogopa kuuliza maswali ndio sababu hata nchi yetu imefikia hapa ilipo. Watanzania tulio wengi hatujiamini ndio maana viongozi wetu wanatuendesha wanavyotaka, yaani tuna taifa la ndio mzee hata kama kunahitajika maelezo. Kitu kama hakijakaa sawa wewe kitolee ufafanuzi. Kuna vitu hatuwezi kukubishia kwa sababu kweli kila mtu ana experience yake ila mkuu kuna vitu very technical huwezi kusema kila mtu ana experience yake pia, kuna baadhi vitu lazima viwe common kwa kila mtu. Mfano ni hili la kuoverstay haliwezi kumalizwa kwa rushwa ya rand 300 na likaisha completely kwa sababu ni issue ya usalama wa nchi na system iko linked nchi nzima kuanzia makao makuu ya immigration hadi idara zote zinazohusika na maswala ya uhamiaji. So wakiscan tu passport yako hapo boarder au sehemu yoyote inayohusika na mfumo wa passport control taarifa zako zinaonekana hadi makao makuu ya immigration kuwa kuna mtu kaoverstay anahitajika kukamatwa au kulipa fine whatever the case may be. Sasa huyo immigration officer atakusaidiaje hapo? Hiyo fine atakulipia? maana hiyo fine ni zaidi ya rand 4,000. Na hiyo fine inakuwa registered kwenye system mpaka uilipe ndio iwe cleared la sivyo unakuwa black listed kukanyaga nchini kwao for the next five years. Kwa hiyo hoja kama hii unatakiwa uitolee maelezo ili twende sawa. Kuna watu humu wanafurahia tu stori na vitu kama hivi wanavioverlook kwa sababu either hawavijui kama vipo au wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Halafu hata issue ya kupewa hifadhi na kanisa na yenyewe kuna utata kidogo kama hutajali pia itolee maelezo. South africa inajulikana kwa ujambazi na mauaji hivyo kwa mtazamo wangu sio rahisi viongozi wa dini wakupe hifadhi bila kujiridhisha kama wewe ni mtu salama au la. As a reasonable person nilikuwa nategemea wangekuhoji kwa kina kuhusu uhalali wako wa kuwepo nchini kabla ya kukupa hifadhi, lazima wangekuulizia documents zako kama upo nchini kihalali. Kumbuka hilo ni kanisa na linatakiwa kuheshimu sheria za nchi, hivyo hawawezi kurisk kumhifadhi mtu ambaye anavunja sheria maana ungekamatwa wangeonekana wanahifadhi wahalifu hivyo ingepelekea kanisa kuingia mgogoro na mamlaka za kiserikali na ingepelekea hatari ya kufutiwa usajili wa kanisa lao, mind you Mindrands ni makazi ya watu wenye hela kwa hiyo ni watu wenye uelewa mpana. Samahani wasomaji kama nawaharibia stori yenu ila nimeamua kutokuwa mnafiki kwa kuuliza haya maswali critical.
We jamaa ka comment kwenye thread yako ukooo....acha tulishwe matango pori tu.wengine tuna soma kusogeza mda tu.
 
Back
Top Bottom