Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Aug 16, 2025 #21 Gwajima ameweka wazi kuwa Raisi wa Tanzania haingii madarakani kwa kutegemea kura za raia. Tatizo ni kuwa huyu hakubaliki kabisa na hatari baada ya uchaguzi kuiongoza serikali kwake itakua vigumu sana.
Gwajima ameweka wazi kuwa Raisi wa Tanzania haingii madarakani kwa kutegemea kura za raia. Tatizo ni kuwa huyu hakubaliki kabisa na hatari baada ya uchaguzi kuiongoza serikali kwake itakua vigumu sana.