Iliitwa kiti cha mfalme hip hop nilikuwa nainanga serikali yaBenjamin Mkapa,kipindi hicho hela ngumu kukaibuka msemo wa ukapa sio ukata,kilichoniponza sikutumia fasihi niliimba bila tafsida,ila nikuwa nachana mistari balaa,niliacha kuimba sasa napiga saxophone kwenye kwaya ya kanisaniTuwekee hio nyimbo hapa na sie tusikilize..
OTIS ndio manufacturer snd technical supporter wa hizo lift aftet sale,nchi za watu Camera zingethibitisha hilo ningelipwa amini nakwambia,1. Ungetoa ushahidi gan usio na Shaka mahakamani? Je ulisaini sehemu wakati unaingia kwenye jengo/lift?
2.. OTIS wanahusikaje hapo? Ngumu Sana kuishtaki kampuni na ukashinda ukizingatia Kipato chako hoi bin taabani.
Kumbe jibu unalo tayari? Bila ushahidi Hata hiyo kesi isingepangiwa hakimu/jajiOTIS ndio manufacturer snd technical supporter wa hizo lift aftet sale,nchi za watu Camera zingethibitisha hilo ningelipwa amini nakwambia,
2001 bado sijazaliwa unaweza ukawa unatudanganya mkuu kwamba kulikuwaga na lift?Mwaka 2001 nilitoka zangu Temeke studio za Soundcrafters kwa Enrico kuchukua single yangu niipeleke Clouds.
nikapitia IFM kwa mpenzi wangu wa kipindi hicho tukapata dinner,ilikuwa mishale ya saa mbili usiku,marehenu Steve B alinipa maagizo kuwa hiyo CD niiache kwa dada flani nadhani ilikuwa floor ya 7,la haulaaaa,kufika floor ys tatu lift ikazima,niko mwenyewe tu,niliyepanda nae alishuka floor ya pili.
Nilijaribu kuiachanisha kwa mikono wapi, nikajaribu kupiga mlango wapi,simu yangu siemens 25 imeshaisha chaji sina ujanja,nikaanza kupiga kekeke wapi,nikabonyeza kengele ya dharura wapi sipati msaada,nikaamua kukaa chini kusubiri muujiza,hapo Oxygen inazidi kuisha,kijasho kinanitoka,nikavua shati nikajaribu tena kupanua mlango nikafanikiwa kwa kiasi cha kupitisha kiganja tu,nikavua kiatu changu na kukiweka jatikati ya milangi ilihewa iingie huku nikisikilizia kama kuna mtu atapita au kushuka hiyo floor,
Mungu si athumani nikasikia mlango wa lift jirani unafunguka ndio nikapiga kelele ya kuomba msaada,yule mshangazi sijui alifanyaje nikaona wanakuja technician na kufungua mlango.
Ile CD nilisahau mulemule Kwenye lift nikarudi zangu nyumbani hapo ni saa nne usiku.Niko tumbo wazi mpaka maeneo ya Steers ndio nikakumbuka kulivaa
Baadae nikafuatilia kopi ya ile single yangu studio,nikaipeleka tena Clouds safari hii kwa tahadhari zote, ule wimbo ulipigwa mara moja tu nikajua nyota njema huonekana asubuhi.
Ingekuwa nchi za watu OTIS watengenezaji wa lift wangenilipa mamilioni
2001 cd 💿? Si zilikuwa zinatumika kanda au? Nilikuwa mdogo sana kipndi hicho !
Kwa hio wewe ni msanii ? Au uliachana na sanaa
Kaka kumbuka vizuri mwaka mkuu 2001 ni zamani sanaLift nimezaliwa nimezikuta mdogo wangu
Tafuta hela acha kuota kupata kimiujiza hakuna wa kukupa pesa kisa umepànda lift yake ikaharibika.Mwaka 2001 nilitoka zangu Temeke studio za Soundcrafters kwa Enrico kuchukua single yangu niipeleke Clouds.
nikapitia IFM kwa mpenzi wangu wa kipindi hicho tukapata dinner,ilikuwa mishale ya saa mbili usiku,marehenu Steve B alinipa maagizo kuwa hiyo CD niiache kwa dada flani nadhani ilikuwa floor ya 7,la haulaaaa,kufika floor ys tatu lift ikazima,niko mwenyewe tu,niliyepanda nae alishuka floor ya pili.
Nilijaribu kuiachanisha kwa mikono wapi, nikajaribu kupiga mlango wapi,simu yangu siemens 25 imeshaisha chaji sina ujanja,nikaanza kupiga kekeke wapi,nikabonyeza kengele ya dharura wapi sipati msaada,nikaamua kukaa chini kusubiri muujiza,hapo Oxygen inazidi kuisha,kijasho kinanitoka,nikavua shati nikajaribu tena kupanua mlango nikafanikiwa kwa kiasi cha kupitisha kiganja tu,nikavua kiatu changu na kukiweka jatikati ya milangi ilihewa iingie huku nikisikilizia kama kuna mtu atapita au kushuka hiyo floor,
Mungu si athumani nikasikia mlango wa lift jirani unafunguka ndio nikapiga kelele ya kuomba msaada,yule mshangazi sijui alifanyaje nikaona wanakuja technician na kufungua mlango.
Ile CD nilisahau mulemule Kwenye lift nikarudi zangu nyumbani hapo ni saa nne usiku.Niko tumbo wazi mpaka maeneo ya Steers ndio nikakumbuka kulivaa
Baadae nikafuatilia kopi ya ile single yangu studio,nikaipeleka tena Clouds safari hii kwa tahadhari zote, ule wimbo ulipigwa mara moja tu nikajua nyota njema huonekana asubuhi.
Ingekuwa nchi za watu OTIS watengenezaji wa lift wangenilipa mamilioni
"Tuwekee hio nyimbo na sie tusikilize"❌Tuwekee hio nyimbo hapa na sie tusikilize..