Nilivyonaswa na Shangingi wakati natafuta ghetto

Nilivyonaswa na Shangingi wakati natafuta ghetto

Wanaume halisi inabidi serikali ijitihada kwa kina kutuweka makumbusho ya taifa kwani mpaka 2030 nchi hii itakuwa na vijianaume uchwara kama mleta mada

Hahahaha! Acha wivu za kike wewe
 
Dada wa pale kwny duka la miwani akakuuliza husumbuliwi na wanawake!!!bila shaka umefanana na mama yako kimaumbile na upande wa tabia umejidhirisha kuwa una tabia za kike toka kwa mama.
 
Dah!kwel darisalam.Nadhan kijana ni mgen wa mambo ya kawaida kabisaaa
 
Mkuu usiwe unasema ikitokea umetongozwa kaakimya sio vitu vyakusema sema kwa mwanaume au wewe ni mtu wakioo sana napoda poda utakua vibaya...
 
Lengo ni hapa [emoji117]...... Wewe kaka hisumbuliwi na wanawake kweli...
 
Back
Top Bottom