Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Wanaume tumeisha kabisa .Daah wanaume tumepungua sana I see!
Kukosa kifua cha kuhifadhi ni udhaifu mkubwa sana
Usishangae unapoona thread za mambo ya ndani zinazoletwa na wanaume hapa JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume tumeisha kabisa .Daah wanaume tumepungua sana I see!
Kukosa kifua cha kuhifadhi ni udhaifu mkubwa sana
Tumwombe mungu sana kwa hili kakàDaah wanaume tumepungua sana I see!
Kukosa kifua cha kuhifadhi ni udhaifu mkubwa sana
Hahaha kwa hiyo ngoma droo.....wahayaNawe ni muhaya mwenzie?
[emoji106]Daah wanaume tumepungua sana I see!
Kukosa kifua cha kuhifadhi ni udhaifu mkubwa sana
Umemaliza kabisa aisee. Naishia kwenye comment yako tu bas.Daah wanaume tumepungua sana I see!
Kukosa kifua cha kuhifadhi ni udhaifu mkubwa sana
Ndo maanaNdiyo
Hahahaa mkuu kama mzuri c akashiriki mashindano ya urembo ..mwanaume hajisifii uzuri bhanaHaya matangazo kuwa jamaa mzuri hivyo wadada jiongezeni tena hapo.
[emoji106]Wanaume halisi inabidi serikali ijitihada kwa kina kutuweka makumbusho ya taifa kwani mpaka 2030 nchi hii itakuwa na vijianaume uchwara kama mleta mada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kwa maisha haya mkuuutakuwa mzuri , ndio kuna sura zingine zinapendwaga tu hazinaga hata kumi lakini ndo ivyo
Dunia imebadilika sasa hivi kila kitu kinawezekana,usikute hapo anataka wa kumlea.Hahahaa mkuu kama mzuri c akashiriki mashindano ya urembo ..mwanaume hajisifii uzuri bhana