Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

[mention]UMUGHAKA [/mention] changamoto zipi unakumbana nazo kwenye biashara ya Bodaboda,
 
[mention]UMUGHAKA [/mention] changamoto zipi unakumbana nazo kwenye biashara ya Bodaboda,
Mkuu Arovera changamoto ni nyingi ila nakomaa kibishi!.

1.Dharau kutoka kwa Abiria.

2.Abiria hasa wanawake kupenda mkopo na kulipa zinaanza chenga na mazoea.

3.Upepo na Vumbi vina athiri sana.

4.Mvua ikinyesha sana mara nyingi hata kazi inakuwa ngumu.

5.Kupanda kwa gharama ya mafuta pia imeniathiri kwa namna moja ama nyingine.
 
Aiseee...kongole kwako kwa simulizi kabambe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwanza kabisa nikushukuru kwa simulizi yako, tumejifunza mengi tena nikupongeze kwa utu ulio nao na mwenyez akuzidishie.

Nafurah sana kupata hii nafasi adimu ya kuweza kuuliza swali lolote. Binafsi swali langu naliweka kama ifwatavyo.

1. Ndugu ninapenda kujuwa ile hirizi mliyo kabidhiwa kule kwa mganga je kila mlipokuwa mkienda kuoga mlikuwa hamuivui?

2. Je ile hirizi uligunduwa inasaidia nin mkiwa kwenye shuguli nzima/inakazi gani kwnye mwili wenu?

Ni hayo tu ndugu, nasubiri majibu kutoka kwako.
 
Kuna mkuria huku mtaani alikua ni mbabe sana anangeu kibao tukajua ni bedui wa hatari kumbe kwenye kitengo Cha majambazi ye ndo anatumika Kama mpishi tu
 
Mkuu Song of Solomon visa ninavyo kibao sema muda wa kuandika ndo tatizo,nikishaanza kuandik siunajua tena wadau wataka kila siku uwape episode za kutosha,siku nikipata muda tena nitaanza kuandika kisa kingine ambacho sijawahi kukiandika hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bas mkuu unitag nifike Mara moja I hope utaanza muda s mrefu
 
Mkuu FOX21 Ile hirizi hatukuwahi kuivua hata kidogo na tuliambiwa ingekuwa inatusaidia kwenye matukio ya ujambazi kwa maana tusingekamatwa wala kuuawa!.
 
Oh !!Kumbe Jipe alikuwa mjita .Naona anasalimiana na shangazi yake kijita.Kumbe alikuwa poti wenu.Okay !!Ipo vizuri bwana mdogo .Ninakufananisha utunzi wako na mwandishi na Tajiri marehemu Msiba.Jipe anatumika kama Willy Gamba.
Weee....! Hii ina nafasi yake tu kama story yenye kuchangamsha kimtindo. Lakini huwezi kuufananisha na Elvis Musiba (WILLY GAMBA). Haiingii hata robo.

Yule mwamba Musiba achana nae kabisa. Nimesoma vitabu vingi sana vya upelelezi. Sijaona wa kuvipiku KUFA NA KUPONA, NJAMA, KIKOSI CHA KISASI, KIKOMO, HUJUMA na HOFU. Yule mwamba ukiingia kumsoma huwezi kuachia kitabu. Ndio mtunzi bora kwangu. Na lazima anakokupeleka kwenye simulizi anakuwa amefika huko pia anakufahamu.
 
Kuna soft copy zake, yumkini tunufaike pamoja?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu FOX21 Ile hirizi hatukuwahi kuivua hata kidogo na tuliambiwa ingekuwa inatusaidia kwenye matukio ya ujambazi kwa maana tusingekamatwa wala kuuawa!.
Mkivua HIRIZI hii litakalowapata msije kulaumu.
1. Je,hadi leo hujaivua/ hamjaivu?

2. Sehemu au nyumba mlizokuwa mnaenda kuvamia mlijuaje kuna fedha ndani au kuna watu wanachoresha kwa bosi wenu?

3. Kwanini nyumba ile ya Mwanza ilikuwa inazimwa taa muda mwingi?
 
Maswali fikirishi sana
 
Daaah hatimaye mwamba umenifuma , ijinga naimanya Sana aisee, unapita kahangara , unashuka unaingia maneto, maneto unapanda mtumbwi unaenda ijinga , nimeishi sana pale mwaka 1996-2000 , nikiwa mdogo kabisa long time Sana
 
Wewe unachukulia serious stories za jamaa? Huwa zina walakini sema watakuja vilaza kukushambulia. Maana wataona unawakatisha stories.

They dont question. They just swallow, watakushukia. we subiri tu
Hizi ni story tu kama za akina shigongo.. mnao jiuliza maswali ndio mna walakini.. yaani story kama hii unaiwekea logic.
 
Mura hatishiki kwa maneno bhanaaa!!
 
Jamaa ako na ka pure heart katofauti sana anastahili sana.

Binafsi yangu niwe mkweli ningekata tamaa kuendeleza story yaani ningekomea Ep 2 tu pale. Becouse some people here are tooo Maniac
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…