Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Sawa mzee wa Kuzugia
 
Mimi mara ya kwanza kuingia lock up... nililala usingz wa hatari nkiwa nmelalia mgongo ndani full harufu ya vinyesi... ila nkawa nmeuchapa usingz na nilikuwa na jamaa mmoja na yeye ilikuwa mara ya kwanza hata nilipomuambia mm ndo mara ya kwanza hakuamini maana alishangaa nawezaje kulala usingz kwa mazingira yale.

nkamwambia mm usingz ni moja ya starehe yangu haijalishi niwe wapi. Sema tu kwa kwl kwa mbu nadhani panaongoza nilitoka kesho yake
 
Tuna fanya makos Sana pale unapo subili shida na matatizo yakukute ndio uanze kusali
 
Nyie ndio mnaharibugi nyuzi za watu kwa kujifanya mnajua saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…