Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Kuna wakati unajitoaga akili sana kule kwenye jukwaa la sports,sijui kwanini unakuwa mshamba wa kutambua kuwa ukikoment chechote lazima kisomwe
Kaka kwani unanidai? Mbona unakuja wa moto sana...ukiona sikufurahishi basi kaa kushoto maana sipo hapa kukufurahisha wewe au mtu yoyote yule. Eti kwanini nakua mshamba haha unachekesha sana kijana sasa tuache kutaniana kisa naogopa kuna mtu anasoma? Na akisoma au ukisoma so whattt?? Hunijui sikujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…