Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Sichez mbal na huu uzi hata iweje
 
UMUGHAKA haydom(haidomu)ipo wilaya ya mbulu ingawa hata babati zote zipo ndani ya manyara na kule ndo home kwangu
all in all story inasisimua sana unatamani isiishe
Maeneo yangu sana hayo mkuu, kuanzia babati,dareda,bashnet,dongobesh,maretadu,maghang,kidarafa,hyderer,dominiki,...etc.......dah umenikumbusha mitaa ya zamani aisee.........dah!....khae......gamila?
 
Inawezekana mkuu,mi nilishakaa geto Moshi miaka 3 sikuwahi kuleta demu na wala sikuwa na demu moshi,kuanzia mwaka 2011 hadi 2014 nikiwa na umri zaidi ya miaka 21 ,inawezekana sana,mara nyingi mi nilikua naweza kukaa hata miezi 8 sijakutana na demu
Mimi siwez kabisa,
 
Kabisa tumchangie kidogo ya mafuta ya Bodaboda yake kwanza ili mambo yasiwe mengi maana anahadithia hadi mtu unakua teja hutamani story iishe
Mkuu Arovera Kama mnataka kunichangia hela ya mafuta njoeni PM niwape namba,tatizo hapa ukitoa namba watu wanajua umekuja kutafuta pesa,pesa nazitaka sana lakini sitaki ionekane naandika ili nipate pesa!.

Nia na lengo la huu uzi ni watu wasome wajifunze,kama kuna mtu anataka kunichangia pia siyo mbaya mkuu,unanicheki tu PM nakutumia namba ila sitoweza kuweka namba yangu hapa kwasababu kadha wa kadha mkuu!.
 
Jamaa wa kule wanasema ni wakorofi, ila ukweli ni wakarimu sana,ukorofi wao mpaka uwachokoze.
Hii ni kweli, niliishi Mugumu-Serengeti kwa miaka kama miwili hivi, wakurya ni wakarimu na hawana tatizo na wageni, ila ukiwachokoza kazi unayo.....lkn wana kisasi sana, kisasi chao hakiishi hata kama itapita miaka 10, watalipiza tu
 
Dah! UMUGHAKA wewe ni muungwana sana. Barikiwa sana tunajifunza mengi sana katika hii story
 
Hii ni stori ya kutunga na walal haina uhalisia wowote.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…