Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Bela nye kamwene ...Endelea kututia moyo ndg maana hali tuloifkia tunajijua wenyewe too
Kamwene ndavuli myanguBela nye kamwene ...
Na shida yake kubwa ni kama atapata pikipiki yake ili aachane na pikipiki ya mkataba na alisema kule kwenye story nyingine kwamba pikipiki aliyonayo imezeeka inamsumbuaMaxence Melo fanyeni mpango huyu jamaa awe na kitu wajameni, amekuwa na mchango mkubwa mno kwenye hili jukwaa kwa huu mda mchache!
majanga kama nyie ni wa kuwasha moto mpotee pumbafuuuuuNakusaport how come day one tu jambazi akupe million moja na akaiamini suddenly na kukupa siri zake from no where jamaa katuokota
wapo wana age ya kutosha sema retired na wengine washatoka magerezani.Nimewahi kupewa story nyingi Sana na jamaa mmoja alikuwaga jambazi zamani Ila akaacha baada ya jamaa zake wote kuuawa na polisi.
Alisema jambazi yoyote anayekwenda front hafikishi miaka 35 hapa duniani.
Especially jambazi ameshawahi kuua.
(Binafsi sijawahi kuona jambazi wa miaka 40.)
Watakula na ma polisi lkn polisi hao hao watawauwa wakisha wachoka. Hii Ni duniani kote.
Wivu unakusumbua mkuu tafuta mkunaji akupelekee moto upate kutulia usije kujin***a[emoji1][emoji1]STORI NI YA KUTUNGA WALA HAINA UHALISIA WOWOTE......
Kuna mmoja yupo umri umeenda kahamia kwenye kuchora ramani. Sina kumbukumbu nzuri kama aliwahi kuua lakini ni hatariNimewahi kupewa story nyingi Sana na jamaa mmoja alikuwaga jambazi zamani Ila akaacha baada ya jamaa zake wote kuuawa na polisi.
Alisema jambazi yoyote anayekwenda front hafikishi miaka 35 hapa duniani.
Especially jambazi ameshawahi kuua.
(Binafsi sijawahi kuona jambazi wa miaka 40.)
Watakula na ma polisi lkn polisi hao hao watawauwa wakisha wachoka. Hii Ni duniani kote.
Uzuri bodaboda wengi wanaweka mkeka steki ya jero, timu 20 kwenda mbele.umughaka bado ana stress ya kuliwa na muhindi jana liva kamchania mkeka
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Umughaka wahurumie mateja wako uku jamiiforum maana sio kwa alosto walionayo had muda huu
Wape ata kimoja wakalale nacho walau huenda wataacha kuja kuchungulia chungulia
[emoji23][emoji23][emoji23]Wivu unakusumbua mkuu tafuta mkunaji akupelekee moto upate kutulia usije kujin***a[emoji1][emoji1]
We unafatilia nn mama mkwe!?Mnakaa badala ya kufanya kazi mpo kufatilia story za kifooo
Toka huko Hakuna kitu Kama hcho ,Arusha wemejah wajaluo kibao wachimba madini za tanzaniteWakurya wanaelekea Arusha kuchukua hela kwa Wachaga, Wameru na Waarusha.
Tusubiri vijana wa Arusha watakapoanza kusema CHAI...
Wachache watakuelewaa ,,,hawajue jamaa naye ana hrakati zakee zakutafuta hata hyo hela ya bando lakuweza kuwekaa story hapa na vile kuandikaa n kazi sanaaUtafikiri mnamlipa jamani....yaani mtu aache kazi zake awe punctual kuwasimulia stori? Kazi ya bodaboda sio kama ofisini kwamba una muda maalum wa kuingia na kutoka. Bado kuna maswahibu kibao barabarani, mwacheni alete stori kwa muda ambao anakuwa comfotable.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya tanga raha hayo"Ufuru" nilijua ni mambegu kumbe ni dagaa 🙄 mweh tembea huone ...!! Mimi nishazoea uwono bhna.
duh,kwa hiyo unafahamiana na unawajua majambazi duniani kote,we mkali aisee.Nimewahi kupewa story nyingi Sana na jamaa mmoja alikuwaga jambazi zamani Ila akaacha baada ya jamaa zake wote kuuawa na polisi.
Alisema jambazi yoyote anayekwenda front hafikishi miaka 35 hapa duniani.
Especially jambazi ameshawahi kuua.
(Binafsi sijawahi kuona jambazi wa miaka 40.)
Watakula na ma polisi lkn polisi hao hao watawauwa wakisha wachoka. Hii Ni duniani kote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unapendaeHuyu lazima atapost tu kimoko cha kutafutia usingizi