Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nimewahi kupewa story nyingi Sana na jamaa mmoja alikuwaga jambazi zamani Ila akaacha baada ya jamaa zake wote kuuawa na polisi.
Alisema jambazi yoyote anayekwenda front hafikishi miaka 35 hapa duniani.
Especially jambazi ameshawahi kuua.
(Binafsi sijawahi kuona jambazi wa miaka 40.)
Watakula na ma polisi lkn polisi hao hao watawauwa wakisha wachoka. Hii Ni duniani kote.
wapo wana age ya kutosha sema retired na wengine washatoka magerezani.
 
Nimewahi kupewa story nyingi Sana na jamaa mmoja alikuwaga jambazi zamani Ila akaacha baada ya jamaa zake wote kuuawa na polisi.
Alisema jambazi yoyote anayekwenda front hafikishi miaka 35 hapa duniani.
Especially jambazi ameshawahi kuua.
(Binafsi sijawahi kuona jambazi wa miaka 40.)
Watakula na ma polisi lkn polisi hao hao watawauwa wakisha wachoka. Hii Ni duniani kote.
Kuna mmoja yupo umri umeenda kahamia kwenye kuchora ramani. Sina kumbukumbu nzuri kama aliwahi kuua lakini ni hatari
 
Oya kaka jambazi... Awali ya yote pole na majukumu, Ushatuzoesha kutwa mara mbili, fanya urudi hii arosto yake kila dk nachungulia humu!!
Kongole [emoji106] we ni Mtu na nusu sio kwa misuko suko hiyo, barikiwa kwa kuchangamsha kijiwe!!!
 
Wakurya wanaelekea Arusha kuchukua hela kwa Wachaga, Wameru na Waarusha.

Tusubiri vijana wa Arusha watakapoanza kusema CHAI...
Toka huko Hakuna kitu Kama hcho ,Arusha wemejah wajaluo kibao wachimba madini za tanzanite

Wakurya wengi wao Ni walimu na hap dsm wanauza mayai San[emoji23][emoji23]
 
Utafikiri mnamlipa jamani....yaani mtu aache kazi zake awe punctual kuwasimulia stori? Kazi ya bodaboda sio kama ofisini kwamba una muda maalum wa kuingia na kutoka. Bado kuna maswahibu kibao barabarani, mwacheni alete stori kwa muda ambao anakuwa comfotable.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachache watakuelewaa ,,,hawajue jamaa naye ana hrakati zakee zakutafuta hata hyo hela ya bando lakuweza kuwekaa story hapa na vile kuandikaa n kazi sanaa
 
Story imefikisha viewers laki 182+++++ Safi San

Naona wakuu wa mashirika ya umma na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wamo huku wkikodoa macho[emoji44][emoji44] kuona kwamba Ni tukio gani lilikwisha fanyika pasipo wao kuwa aware

HV umughaka unaweza kumbkumbuka IGP wa kipindi kile , siyo said mwema kweli ? Au TIBAIGANA
 
Nimewahi kupewa story nyingi Sana na jamaa mmoja alikuwaga jambazi zamani Ila akaacha baada ya jamaa zake wote kuuawa na polisi.
Alisema jambazi yoyote anayekwenda front hafikishi miaka 35 hapa duniani.
Especially jambazi ameshawahi kuua.
(Binafsi sijawahi kuona jambazi wa miaka 40.)
Watakula na ma polisi lkn polisi hao hao watawauwa wakisha wachoka. Hii Ni duniani kote.
duh,kwa hiyo unafahamiana na unawajua majambazi duniani kote,we mkali aisee.
 
Back
Top Bottom