Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Ndugu mwandishi tafadhali usiwasikilize hao wanaokujaza upepo eti ukatoe kitabu utapata pesa. Mkuu hao ni watanzanua na watanzania na kusoma vitabu ni vitu tofauti kabiiiisa, mtu anaweza kua anapenda kusoma kitabu ila kutoa 15K anunue kutabu hawezi.

Kuna mtu humu alileta stori ya uchawi mwaka jana ikapendwa wakamjaza atoe kitabu jamaa kweli akatoa kitabu. Waulize ni wangapi wenye kitabu chake, sio huyo tu kuna The Bold alitoa kitabu sidhani kuna mwana jf alinunua na walikua wanamjaza kweli huko jf intelligence.

Hear, hear.
Kama umeamua kutuburudisha kwa kushea uliyopitia endelea kufahya hivyo. Ila kama unaplan za kutoa kitabu hakikisha iwe imetoka ndani mwako na sio kwa kushawishiwa na hawa wanaosoma hapa ukitegemea eti watakuunga mkono kwa kununua.

Keep ya Head Up Hawa ni watanzania tena wa JF 🚶
 
Atoe kitabu cha kazi gani wakati ameshasimulia hapa.Watu hawatonunua maana wanaijua stori,ya nini kuirudia.

Akitaka apate pesa kwenye hii stori aishie hapa kusimulia,halafu aandae softcopy ya kipande kilichobaki/full stori auze.Mwenye uhitaji analipia kiasi fulani anatumiwa.
 
Aisee!
 
Huyu jamaa na story yake Haina uhalisia,,,japo baadhi ya maeneo kayataja ili kutengeneza uhalisia,,,,

Alafu ameshaanza kuvimba masikio kisa wadau wengi wanataka muendeleo ,,,,
Ukumbuke jamaa anakomaa kijiweni huko Bunju, akikosa wateja ndiyo anaandika hapa tena kwa simu. Ingefaa tumshikuru siyo kumlaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…