Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Mimi nakitafuta kitabu cha Lwanda Magere nataka kukinunua
 
QNET wana PhD kabisa ya utapeli. Walitapeli hadi maafisa wakubwa wa serikali na wabunge kama Kigwangala.
 
Wote mnaosema ya kutunga au haitaisha ni mashoga tu kwa sababu hii sio story ya kwanza jamaa kusimulia hapa na alikatishwa tamaa sana ila bado aliimaliza
So hata hii am sure ataimaliza
 
Jamaa kama anaelekea kupoteza credit alizozipata jf!!
Kiukweli hii story inapoelekea sio pazuri hata kama sasa ni raia mwema. Ningekua mimi kulinda heshina yangu, ishu ya kunusurika kifo ningetungia kule ziwani may be mtumbwi ulipinduliwa na kiboko tukapoteana wavuvi wote. Unahitimishia huko.
Ila huku ni pazito unless uwe ushaenda jela kwa hayo matukio uliyoyafanya.


Sent
 

Hahahaha acha uoga wewe ..credidibility ya nini? Hii ni story bhana ...Acha mtatiro na Umughaka washike mashine hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…