Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Usiogope!

Kwanini atunge wakati ni story ya kweli.

Ilitokea zamani akiwa na 23yrs sasa hivi ni MTU mzima lazima atusimulie aliyopitia.

Subiri uone UMUGHAKA akichezea SMG.
 
Kweli kuna watu mna ubinafsi, hakuna awazaye kama huenda ana matatizo au dharura, watu wanaropokwa tuu mara anaringa, mara kapata bichwa utafikiri Umughaka ni muajiriwa humu JF ambaye kazi yake ni kukidhi tuu mahitaji ya wanaJF.
 
Hahahaha acha uoga wewe ..credidibility ya nini? Hii ni story bhana ...Acha mtatiro na Umughaka washike mashine hahahahaha
Hamna sio uoga. Jamaa wanaweza muungia kumbuka hajui kama file la case lipo closed.

Wewe huoni hata yeye mwenyewe alitoa tahadhari maana hana uhakika.
Credibilitu nayozungumzia hapa ni hii ya kuishia njiani, anashindwa malizia story kwa sababu huko sio pazuri kivile.
Unaweza ona ni story ila kuna watu wanachukulia serious.

Sent
 
Hakuna kitu Kama hicho acheni uoga nyie wadanganyika duu!! Mnaogopa Hadi story cowardice peoples
 
Kweli kuna watu mna ubinafsi, hakuna awazaye kama huenda ana matatizo au dharura, watu wanaropokwa tuu mara anaringa, mara kapata bichwa utafikiri Umughaka ni muajiriwa humu JF ambaye kazi yake ni kukidhi tuu mahitaji ya wanaJF.

Watu ni waajabu sana wana lalamika as if mwenzao hana shughuli nyingine za kufanya... wana sahau mwenzao nae ana shughuli zake! Tena ilibidi kwa siku anatupa episode moja tuu.....
 
Watu ni waajabu sana wana lalamika as if mwenzao hana shughuli nyingine za kufanya... wana sahau mwenzao nae ana shughuli zake! Tena ilibidi kwa siku anatupa episode moja tuu.....
Humu tupo ma jobless,tupo wafanya kazi na wafanya biashara ambao hatupo busy...kujitokeza kijiwe kama hiki tegemea reaction tofauti tofauti.
 
Kijana aliyemaliza Form Six sio mtoto..ni mtu mzima..ana miaka zaidi ya 18..anajielewa..ni level ya kijana wa chuo kikuu...kushikiwa chini na kupigwa hivyo nadhani hapo kuna shida..hayo ni mambo ya watoto wa std iv to vii
Unachezea na kurya , Wanachapwa hata walio Kwisha owa , sembuse huyo form Six!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…