MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Usiogope!Jamaa kama anaelekea kupoteza credit alizozipata jf!!
Kiukweli hii story inapoelekea sio pazuri hata kama sasa ni raia mwema. Ningekua mimi kulinda heshina yangu, ishu ya kunusurika kifo ningetungia kule ziwani may be mtumbwi ulipinduliwa na kiboko tukapoteana wavuvi wote. Unahitimishia huko.
Ila huku ni pazito unless uwe ushaenda jela kwa hayo matukio uliyoyafanya.
Sent
Kwanini atunge wakati ni story ya kweli.
Ilitokea zamani akiwa na 23yrs sasa hivi ni MTU mzima lazima atusimulie aliyopitia.
Subiri uone UMUGHAKA akichezea SMG.