Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

How come jambazi akuamini na akupe million zake kwa dk moja tu na kukupeleka kazini bila mafunzo ya silaha
Hapa umekosea mkuu

Milioni moja kwa Mafia anayepiga dili za milioni 100 ni pesa ndogo sana tena ukumbuke hayo sio malipo ya kazi bali ni pesa ya kujikimu wakati ukijiandaa kufanya kazi
Katika kazi za kijasusi kupewa pesa kama hizo ni jambo la kawaida sana
 
Tafuta kazi za kufanya we mtoto wa ma la ya,ungekuwa na kazi za kufanya hata usingehangaika hiv
 
Sijapenda aisee. Na sikutarajia kutoka kwako hizo sentiments.

Kumwambia aache njaa na kumwambia aache kutapeli watu is not fair at all.
 
Pole kwa msiba!
 
Siku aje JF kuimba uone kama tutamlipa.hii mbinu ya kutaka kuwatapeli watu kwa kutumia IDs zako nyingine kujipigia debe tunaifahamu sana.
Mimi si muandishi wa huu uzi. Hata hivyo umemnukuu vibaya, mambo ya kuchangia yalipendekezwa na msomaji mmoja sio yeye, na pia alijua kuna mtakaokuwa na mawazo kama haya ndio maana akapendekeza, anayejisikia kutoa, amfuate kibinafsi.
 
KWANI HUJAENDA NA SIMU, AU UNAANDIKA KUPITIA DESKTOP. KAMA MATERIAL YAKO KICHWANI NA SIMU UNAYO HAPO MSIBANI KWENYE MAJAMVI SI UNAWEZA KUANDIKA TU VIZURI TUKAPATA UHONDO!![emoji16][emoji16]jokes.
Anyway, pole kwa msiba. UMUGHAKA
 
Sijapenda aisee. Na sikutarajia kutoka kwako hizo.

Kumwambia aache njaa na kumwambia aache kutapeli watu is not fair at all.
Punguani wa namna hii wapo ili dunia iendelee achana nao.

Yaani watu wanalazimisha kitu kama vile wao ndo wanasimulia. Jamaa anatumia muda wake, simu yake, bando lake ila anavyoshambuliwa kama vile analipwa na wadau humu.


Hata akiishia alipoishia no one atamfanya kitu.[emoji848]
 
Aisee, kweli dunia tambara bovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…