Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Wapi huko boda boda anaweza ingiza 70,000 kwa siku? Nipeleke boda boda wangu 5 tu. Hizi ni stories tu asikudanganye mtu. Boda boda wamesambaa tanzania ni wengi sana kwa sasa.
Watu wanaongea kujifurahisha tu.
Huyu anayepata 70 kwa siku akitoa cha bosi. Ndani ya miezi 2 anakuwa na uwezo wa kuwa na chombo yake
 
Anajipiga promo kwa I'd engine kumbe[emoji16]
 
πŸ‘ŽπŸ‘ŽπŸ‘Ž
 
Shut up you 'sun of a beach'
 
Kuna kitu kinaitwa Writers Block. Achana nacho kabisa. Ukishajua challenges za uandishi you will respect ile energy, dedication, na time anayotumia mtu kuandika.

Mpaka alipofikia nampa salute. Its not easy at all.

Bravo UMUGHAKA
 
Zingatia huu ushauri mkuu usitoe namba yako unless otherwise hii sio true story
 
Unajuaje aliyependekeza km ni back up I'd
Mimi si muandishi wa huu uzi. Hata hivyo umemnukuu vibaya, mambo ya kuchangia yalipendekezwa na msomaji mmoja sio yeye, na pia alijua kuna mtakaokuwa na mawazo kama haya ndio maana akapendekeza, anayejisikia kutoa, amfuate kibinafsi.
 
Acha kamba boda boda akiondoa gharama za mafuta kwa siku anabaki na 30,000 tu km pikipiki yake

Hapo ondoa pesa ya kula kwa siku
 
Unajuaje aliyependekeza km ni back up I'd
Ok so what?

Amemlazimisha mtu kumchangia?

Hebu tuacheni tuburudike, na tunaojifunza tujifundishe kitu.

Nyie idlers wengine piteni kuna sredi zingine sio lazima hapa.

Ila Mods mnatumaiaga kigezo gani kumuita mtu Great Thinker tuanzie hapo.

Story yetote hii mtu amethink anaibiwa.πŸ€£πŸ€£πŸ€­πŸ€­πŸ™ŠπŸ™Š
 
Hiyo ni stori ya kutunga lamda km sio msomaji wa vitabu
Mkuu huyu jamaa ni kweli hii story ni yake Na wala c ya kutunga maana misukosuko aliyokutananayo hawezi kushindwa kuvumilia kejeri za humu
 
Acha kamba boda boda akiondoa gharama za mafuta kwa siku anabaki na 30,000 tu km pikipiki yake

Hapo ondoa pesa ya kula kwa siku
Sio kamba na usibishe pia ofisi yangu ipo na kijiwe cha bodaboda, wanafanya kazi wengine hadi wanakesha usiku mzima. Huyu rafiki yangu ninaemuongelea yeye hana ratiba maalum ya kazi yeye asubuhi, mchana au kukesha ni fresh kwake as long as anajisikia kufanya kazi. Bodaboda kinachowaponza ni pombe, bangi, kamali na wanawake hela zao nyingi zinaishia huko.

Asilimia kubwa ya bodaboda wanaishi leo kesho itajijua sababu atafanya kazi atapata tena. Na huwa hawana akiba sababu anayopata kwa siku anaimaliza yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ili uingize 70,000 kwa siku inabidi uwe unnaamka saa kumi na moja alfajiri na kupaki saa saba au saa nane usiku tena hii ni kwa maeneo ya stend na kumbi za starehe
 
Watu wanaongea kujifurahisha tu.
Huyu anayepata 70 kwa siku akitoa cha bosi. Ndani ya miezi 2 anakuwa na uwezo wa kuwa na chombo yake
Atanunua chombo chake vipi wakati wao wanachowaza ni kula, pombe, kamali, bangi na wanawake?? Katika bodaboda 10 kijiweni wenye malengo hawafiki hata 4 naongea kwa experience.

Unakuta katika hiyo 70000 akatoa ya boss 10000, akala let say 10000 mafuta akajaza 8000 inayobaki yote atakunywa na kucheza kamali atatafuta na mwanamke wa kulala nae na ndio maisha yao kila siku. Mpaka kunakucha anakuwa na 2000 ya kunywa chai anaanza kutafuta upya ili atumie the same.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…