Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Wapi huko boda boda anaweza ingiza 70,000 kwa siku? Nipeleke boda boda wangu 5 tu. Hizi ni stories tu asikudanganye mtu. Boda boda wamesambaa tanzania ni wengi sana kwa sasa.
Watu wanaongea kujifurahisha tu.
Huyu anayepata 70 kwa siku akitoa cha bosi. Ndani ya miezi 2 anakuwa na uwezo wa kuwa na chombo yake
 
Anajipiga promo kwa I'd engine kumbe[emoji16]
Kwanini uchangiwe wakati unaandika kutuburudisha? Acha njaa. Andika watu tunapokuwa free tunaburudika. Unasema wajifunze wajifunze nini? Huwa nyie jamaa mnaandika andika hivi mnaanza kudhani kuwa mnatia material na watu wanahitaji wafaulu. So mnaanza kutumia IDs zenu nyingine kujipasia mfunge. Hilo suala la kukuchangia tukuchangie we unalipa kupost hapa? Umepewa bure toa bure. Acha kutaka kutapeli watu.
 
Afadhali umegundua hilo. Unakuja jipigia promo uwatapeli watu. Leta stories. Hutaki lala mbele. Wewe JF imekutoza nini? Hatutaki wezi humu. Povu lako kafulie nguo uwe msafi na lingine kaoshee ubongo...🤣 Mnaleta njaa zenu JF... Hatujaomba story.umeleta then unataka ulipwe we unaleta udangaji humu.
👎👎👎
 
Hapa watu unawaandaa kwenda waibia. Na pia kuna watu wanatafutwa wajichanganye.... Wewe lete story humu hamna haja ya kuonana. Unataka uwateke na kuwaibia watu?hizi mbinu tunazijua. Usione tumo humu ukadhani wajinga.... Lete story weka episode nyingine leo haraka. Acha ujinga wa kutaka pesa kibwege. Lete story nasubiri.
Shut up you 'sun of a beach'
 
Punguani wa namna hii wapo ili dunia iendelee achana nao.

Yaani watu wanalazimisha kitu kama vile wao ndo wanasimulia. Jamaa anatumia muda wake, simu yake, bando lake ila anavyoshambuliwa kama vile analipwa na wadau humu.


Hata akiishia alipoishia no one atamfanya kitu.[emoji848]
Kuna kitu kinaitwa Writers Block. Achana nacho kabisa. Ukishajua challenges za uandishi you will respect ile energy, dedication, na time anayotumia mtu kuandika.

Mpaka alipofikia nampa salute. Its not easy at all.

Bravo UMUGHAKA
 
Mura kwa story inakoelekea nakushaur usiruhusu kuonana na mtu hata mm nilikuwa nataka tuonane but nakushaur usitoe no yako wala kukubali kuonana na mtu wa insta
Bro kosa la jinai huwa halifi hata kama ni baada ya miaka kumi bado kesi inaweza kufufuliwa na ukashtakiwa
So pls baki tu mtu asiyejulikana kama wengine hapa jf
Zingatia huu ushauri mkuu usitoe namba yako unless otherwise hii sio true story
 
Unajuaje aliyependekeza km ni back up I'd
Mimi si muandishi wa huu uzi. Hata hivyo umemnukuu vibaya, mambo ya kuchangia yalipendekezwa na msomaji mmoja sio yeye, na pia alijua kuna mtakaokuwa na mawazo kama haya ndio maana akapendekeza, anayejisikia kutoa, amfuate kibinafsi.
 
Acha kamba boda boda akiondoa gharama za mafuta kwa siku anabaki na 30,000 tu km pikipiki yake

Hapo ondoa pesa ya kula kwa siku
Nina rafiki yangu bodaboda kwa siku anaweza pata hata 70000+ akikomaa kazini ila ni mvivu. Laiti kama angekuwa ana malengo na anatamani kuyafikia ana uwezo hata wa kulaza laki kwa siku. Ni vile bado hana majukumu so siku akipata hela ya kula,ya bosi na mafuta anarelax mpaka akamatike ana shida anapiga kazi sana. So ni kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuaje aliyependekeza km ni back up I'd
Ok so what?

Amemlazimisha mtu kumchangia?

Hebu tuacheni tuburudike, na tunaojifunza tujifundishe kitu.

Nyie idlers wengine piteni kuna sredi zingine sio lazima hapa.

Ila Mods mnatumaiaga kigezo gani kumuita mtu Great Thinker tuanzie hapo.

Story yetote hii mtu amethink anaibiwa.🤣🤣🤭🤭🙊🙊
 
Hiyo ni stori ya kutunga lamda km sio msomaji wa vitabu
Mkuu huyu jamaa ni kweli hii story ni yake Na wala c ya kutunga maana misukosuko aliyokutananayo hawezi kushindwa kuvumilia kejeri za humu
 
Acha kamba boda boda akiondoa gharama za mafuta kwa siku anabaki na 30,000 tu km pikipiki yake

Hapo ondoa pesa ya kula kwa siku
Sio kamba na usibishe pia ofisi yangu ipo na kijiwe cha bodaboda, wanafanya kazi wengine hadi wanakesha usiku mzima. Huyu rafiki yangu ninaemuongelea yeye hana ratiba maalum ya kazi yeye asubuhi, mchana au kukesha ni fresh kwake as long as anajisikia kufanya kazi. Bodaboda kinachowaponza ni pombe, bangi, kamali na wanawake hela zao nyingi zinaishia huko.

Asilimia kubwa ya bodaboda wanaishi leo kesho itajijua sababu atafanya kazi atapata tena. Na huwa hawana akiba sababu anayopata kwa siku anaimaliza yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ili uingize 70,000 kwa siku inabidi uwe unnaamka saa kumi na moja alfajiri na kupaki saa saba au saa nane usiku tena hii ni kwa maeneo ya stend na kumbi za starehe
Nyie ndio wabishi kwa kuona bodaboda ni kazi ya chini wakati kuna watu wanalea familia, wamejenga sababu ya bodaboda. Kweli siku haziwezi kufanana lakini bodaboda ina hela sana kama mtu yupo serious na kazi yake. Kinachowaponza bodaboda na bajaji ni ulevi, bangi, umalaya na kamali ndio zinaishia hela zao na madeni juu. Sibishi mimi kazi yangu ilikuwa pembeni kijiwe cha bodaboda nilijifunza mengi sana kuwahusu.

Bodaboda yupo radhi atoe 20000 ya guest kula mzigo na akampeleka mtu huyo bure ruti ndefu labda mbezi hadi gmboto hapo kashapoteza kiasi gani. Bado hajalewa na kucheza kamali. Na wala hawajali kuhusu kesho as wanajua kesho ikifika nitapata tena.

Sikushauri kununua bodaboda kuwapa madereva wao wanachojali ni kula, kulewa na kamali yupo radhi asipeleke hela ya bosi ila akacheze dubwi amalize hata 40000 huko. Pamoja na urafiki nao kindakindaki siwezi kurisk kununua bodaboda kumpa dereva anajua hata asipokupa hela yako utachukua chuma yako leo kesho anapata nyingine maisha yanasonga.

Kwa mtu anayejielewa na kujua nini anafanya kutoboa kwa bodaboda ni rahisi sana sometimes biashara inakuwa ngumu kwao ila nina ushahidi usio wa stori kuwahusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaongea kujifurahisha tu.
Huyu anayepata 70 kwa siku akitoa cha bosi. Ndani ya miezi 2 anakuwa na uwezo wa kuwa na chombo yake
Atanunua chombo chake vipi wakati wao wanachowaza ni kula, pombe, kamali, bangi na wanawake?? Katika bodaboda 10 kijiweni wenye malengo hawafiki hata 4 naongea kwa experience.

Unakuta katika hiyo 70000 akatoa ya boss 10000, akala let say 10000 mafuta akajaza 8000 inayobaki yote atakunywa na kucheza kamali atatafuta na mwanamke wa kulala nae na ndio maisha yao kila siku. Mpaka kunakucha anakuwa na 2000 ya kunywa chai anaanza kutafuta upya ili atumie the same.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom