Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Mkuu sio kwa ubaya lakini kwa tamaduni za makabila mengi ya kanda ya ziwa wasukuma,wakurya n.k kijana hata wa miaka 25 anaadhibiwa kwa viboko vizuri tu na hana la kufanya....Kwa angle hio naweza mtetea mleta mada.
Huyo hata usimjibu ni mtoto wa mama
 
Mkuu sio kwa ubaya lakini kwa tamaduni za makabila mengi ya kanda ya ziwa wasukuma,wakurya n.k kijana hata wa miaka 25 anaadhibiwa kwa viboko vizuri tu na hana la kufanya....Kwa angle hio naweza mtetea mleta mada.
Wachaga kuna clips ilitembea.mwaka juzi libaba na familia lililambwa viboko vya kutosha kwa (kama sijakosea) ULEVI
 
Hiyo mbona kawaida mkuu. Sisi wamachame tunawachapa, Wamasai, wasukuma, Wameru, waarusha n.k bado mila zipo na hata ukiwa na familia yako, unalambwa stiki. Huyo dogo si kula kulala hapo kwa shem wake ndio maana ujuaji mwingi.
 
Ni ukisasa wetu tuu lkn wamasai hadi leo mtu mzima na familia anakula mboko sabini mbele ya watu, hio clip jamaa alikua akilewa anatukana watu, alichapwa na mzee wa ukoo na hakuna kitu anafanya, mm broo angu yupo around 40 alilewa akamtukana mama alichapwa na mwenyekiti wa mtaa kwa baraka kutoka kwa wazee wa ukoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ndio maana hapa mtu akibisha at 4m 6 huezi chapwa mm simbishii maana hana ajuacho, mzee wa kichaga, kimasai, kikanda ya ziwa huko anakuchapa mbele ya mkeo.
 
Hiyo mbona kawaida mkuu. Sisi wamachame tunawachapa, Wamasai, wasukuma, Wameru, waarusha n.k bado mila zipo na hata ukiwa na familia yako, unalambwa stiki. Huyo dogo si kula kulala hapo kwa shem wake ndio maana ujuaji mwingi.
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom