Land cruiser Prado
Senior Member
- Apr 24, 2021
- 118
- 265
Najitahidi niweze hata Mwezi mmoja tu..Inawezekana mkuu,mi nilishakaa geto Moshi miaka 3 sikuwahi kuleta demu na wala sikuwa na demu moshi,kuanzia mwaka 2011 hadi 2014 nikiwa na umri zaidi ya miaka 21 ,inawezekana sana,mara nyingi mi nilikua naweza kukaa hata miezi 8 sijakutana na demu
Eeeh Mungu nisaidie [emoji120]