Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Mkuu Lucha wapi nimechanganya R na L hebu niambie ili nijirekebishe Tata maana watu tuliokulia Mara ni ngumu kutenganisha L na R,mahali panapopaswa kutamkwa Lala sisi tunasema Rara!,hebu nionyeshe nilipokosea nirekebishe Mura!
Kwa kweli unajitahidi sn tofauti na lafudhi
sijaona sehemu nyingine
 
Mkuu Lucha wapi nimechanganya R na L hebu niambie ili nijirekebishe Tata maana watu tuliokulia Mara ni ngumu kutenganisha L na R,mahali panapopaswa kutamkwa Lala sisi tunasema Rara!,hebu nionyeshe nilipokosea nirekebishe Mura!
Mimi sijaona popote umechanganya japo najua watu wa kanda ya ziwa huwa mnachanganya sana, jamaa anakuzingua tu
 
UMUGHAKA itabidi ujitafakari San mnk katika ule Uzi wa mzee makono ile ilifikia viewer 126000 +++ yaani waliosoma tu ,sas huu wa sasa HV umefika laki 132 kwa sas HV na Bado unaendelea sijui itafikia ngapi siju ilo ,ila ninachotaka kukumbia Ni kwamba jitafakari kuangalia namna ya kuzalisha vitabu upige pesa au movie kbsa tengenezaa mnk unajuwaa mnoo kusimulia na kuandika vzr sna
Jamaa amekalia mgodi
 
Maeneo yangu sana hayo mkuu, kuanzia babati,dareda,bashnet,dongobesh,maretadu,maghang,kidarafa,hyderer,dominiki,...etc.......dah umenikumbusha mitaa ya zamani aisee.........dah!....khae......gamila?
😂😂Ga ikhaa khaye kung
 
Back
Top Bottom