Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

UMUGHAKA kuna deal hapa ya kama 2B mwanangu, ngumu pia, tukifanikiwa uje uipe muendelezo ktk hii hii story, ikijamba ndo hivyo tena, hii hausishi mapogo hii ni Battle kati ya utajiri na Kifo, unasemaje mwanangu? kutoboa na ku fail ni 50/50..Big up Man kuna watu unawapa ujasiri mtaani..nilichoandika hapo awali achana nacho hakina uhalisia wowote! ni mzuka tu wa hii story
 
Ghatesh, Gijedabung,Mamire,Gallapo,Endakiso, Endamanang I miss those place
Hahahaaaaa..........me too kaka,yalikuwaga maeneo yangu sana hayo enzi hizo,...nikitokea babati naenda kuchakaza hayo maeneo yote nyuma ya Mlima kwaraa natokea kwa galapo,....
Miaka inakimbia sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakika kuna muda unaweza ukawa na shida fulani lakini usijue kama unayoshida! Unachotakiwa kukubali kwanza ni wewe kuwa unayoshida hiyo...

Mkuu una shida ya R na L soma ulicho kiandika!
Kweli namimi nathibitisha kwamba huyu mtu ana shida Sana.
 
Nipo huku nyuma nimekaa zangu nasubiria Episode inayofuata. Atakaye hiyaji kiti kusubiria next episode anishtue tu nimpatie kimoja
FB_IMG_16669087633706007.jpg
 
Back
Top Bottom