Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Umughaka ameamka salaama,n vile alikua na abiria wa asbh wa kumpeleka stand ya magufuli alikua anasafiri hvyo wakati anaenda kunywa chai ndo atatuletea story
 
Story imefikisha viewers laki 182+++++ Safi San

Naona wakuu wa mashirika ya umma na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wamo huku wkikodoa macho[emoji44][emoji44] kuona kwamba Ni tukio gani lilikwisha fanyika pasipo wao kuwa aware

HV umughaka unaweza kumbkumbuka IGP wa kipindi kile , siyo said mwema kweli ? Au TIBAIGANA
TIBAIGANA hajawahi kuwa IGP kijana
 
Mwamba Ni muandishi mzuri Sana kiukweli. Hongera zako mkuu.
Nakushauri hi story yako Kama vipi utengeneze scripts uwauzie wachezaji filamu upige pesa mkuu.

Ni nzuri Sana kiukweli.
 
.(Yule mganga alikuwa mjanja sana,badala ya kulima mashamba yake,sisi wapumbavu ambao tulifahamika kama wateja wake ndio tuliomlimia wakati yeye akiwa ametulia nyumbani,Daaah![emoji23][emoji23],na kila mtu aliyefika hapo kwake ni lazima ilikuwa akamatishwe jembe aingie shambani![emoji23][emoji23]).
 
Back
Top Bottom