jahtera
Senior Member
- Mar 27, 2020
- 122
- 244
Acha kukaliliMijamaa mingi inamshobokea Umaghaka Sijui.
Watu wachache Tumeelewa huu mchezo hii ni stori ya kutunga.
Wala Haitaisha.
Story za kutunga Jf mwisho wake ni hapa.
Muulizeni mpwayungu village
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kukaliliMijamaa mingi inamshobokea Umaghaka Sijui.
Watu wachache Tumeelewa huu mchezo hii ni stori ya kutunga.
Wala Haitaisha.
Story za kutunga Jf mwisho wake ni hapa.
Muulizeni mpwayungu village
Mpwayungu hawezi kupangilia visa na matukio kwa mtiririko unaoeleweka.Mpwayungu village ndo huyo huyo Umughaka
Kwanini Mpwayungu hajaonekana humuMpwayungu hawezi kupangilia visa na matukio kwa mtiririko unaoeleweka.
Chai zake huwa za baridi
Atoe kitabu cha kazi gani wakati ameshasimulia hapa.Watu hawatonunua maana wanaijua stori,ya nini kuirudia.Ndugu mwandishi tafadhali usiwasikilize hao wanaokujaza upepo eti ukatoe kitabu utapata pesa. Mkuu hao ni watanzanua na watanzania na kusoma vitabu ni vitu tofauti kabiiiisa, mtu anaweza kua anapenda kusoma kitabu ila kutoa 15K anunue kutabu hawezi.
Kuna mtu humu alileta stori ya uchawi mwaka jana ikapendwa wakamjaza atoe kitabu jamaa kweli akatoa kitabu. Waulize ni wangapi wenye kitabu chake, sio huyo tu kuna The Bold alitoa kitabu sidhani kuna mwana jf alinunua na walikua wanamjaza kweli huko jf intelligence.
Hear, hear.
Kama umeamua kutuburudisha kwa kushea uliyopitia endelea kufahya hivyo. Ila kama unaplan za kutoa kitabu hakikisha iwe imetoka ndani mwako na sio kwa kushawishiwa na hawa wanaosoma hapa ukitegemea eti watakuunga mkono kwa kununua.
Keep ya Head Up Hawa ni watanzania tena wa JF [emoji124]
Huyu jamaa na story yake Haina uhalisia,,,japo baadhi ya maeneo kayataja ili kutengeneza uhalisia,,,,
Alafu ameshaanza kuvimba masikio kisa wadau wengi wanataka muendeleo ,,,,
Hii ni ya kutunga acheni kuingizwa mkenge watanzania wengi ni debe tupu kichwani
mpwayungu village Yuko vijiji anakunywa pombe za kilugha.Kwanini Mpwayungu hajaonekana humu
Wahalifu wa kiafrika anaua anatupa line ya voda, anasajili airtel kwa kitambulisho chake halisi, halafu anatumia simu ileile aliyofanyia uhalifu, au anafanya uhalifu sehemu anajulikana kama john anakimbia na kule alikokimbilia anajitambulisha kama john.
Au anajua kabisa ana vitu haramu halafu anaviweka karibu yaani ndani anapolala au polisi wanatumia honeytape anapigiwa simu na mwanamke hadi anashawishiwa aende sehemu waonane nae anaenda kama kuku, au anajua ana majanga anatembea hovyo kama kuku wa kienyeji au anapigiwa simu anaulizwa uko wapi namba ngeni anataja sehemu halisi alipo kabisa au dili haramu anapangia kwenye simu wakati simu inatakiwa kutumika kuonana tu dili inapangwa face to face tena kwa codes maalumu.
Au mtu anafanya uhalifu eti anaenda kuvuka border kwa kutumia passport yake halali inayotambulika kabisa kuna vituko ambavyo ushahidi wahalifu wanauacha wanadakwa kizembe sana
Ukumbuke jamaa anakomaa kijiweni huko Bunju, akikosa wateja ndiyo anaandika hapa tena kwa simu. Ingefaa tumshikuru siyo kumlaumuHuyu jamaa na story yake Haina uhalisia,,,japo baadhi ya maeneo kayataja ili kutengeneza uhalisia,,,,
Alafu ameshaanza kuvimba masikio kisa wadau wengi wanataka muendeleo ,,,,