Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Jamaa kama anaelekea kupoteza credit alizozipata jf!!
Kiukweli hii story inapoelekea sio pazuri hata kama sasa ni raia mwema. Ningekua mimi kulinda heshina yangu, ishu ya kunusurika kifo ningetungia kule ziwani may be mtumbwi ulipinduliwa na kiboko tukapoteana wavuvi wote. Unahitimishia huko.
Ila huku ni pazito unless uwe ushaenda jela kwa hayo matukio uliyoyafanya.

Sent
Credibility ya account/jina famba???
 
Usihukumu kaka,huezi jua amepatwa na nini,nadhan mwenye namba yke ajaribu walau kmchek
 
Jamaaa kakamatwa na Gabi kwa kuuza siri za kambi,hakuna mwendelezo wowote atakaoleta,chamsingi jeuzeni kijiwe cha kahawa tuu humu
 
Story closed, mna midomo sana watu wa jf, kila kono tuvimaneno kama mnamchangia chochote mhusika, good will yake mnaitumia vibaya na viujuaji vyenu.

Jamaa haleti story, leteni za kwenu ambazo mnaona zinafaa, na si za kutunga tusome ... Mmejawa na wivu tu kama watoto wa kike. Jamaa anatumia mda wake kuwaburudisha nyie bila malipo ila bado mna nongwa,

Acheni upumbavu
 
Umughaka kaa ukijua arosto ni mbaya na inaumiza mno...hebu tuungie bhana tusiteseke viumbe wenzako. Kuwa na huruma...hebu tiririsha hata episode tatu mfululizo ili utufariji wenzio...
 
Back
Top Bottom