Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

IMG-20221103-WA0008.jpg
 
ninachokisubiri hapa ni namna mwandishi alivyonusurika kifo baada ya mzee wake kumtimua nyumbani
Kukimbilia Kenya

Kusambaza fedha bandia

Kuvua samaki ziwani bila uzoefu

Kuvamia nyumba ya Magige kupora fedha

Kujiunga NA makundi ya ujambazi

HAYO YOTE NI KUNUSURIKA KIFO BAADA YA KUFUKUZWA NYUMBANI
 
Huyu boss wao itakuwa alikuwa msomi yaani haamini kabisa mambo ya waganga,ingekuwa ni genge lingine la ujambaz lazima Umughaka na Mtatiro wangeoga dawa kwanza au wangepelekwa kwa Sangoma kuwekwa vizuri
 
Mamlaka husika kamateni uyu atuoneshe na wengine lazima atakua ana wajua ata kama walisha okoka msha pata pa kuanzia .hamna hadithi kwenye uhalifu ova ;...

Wewe ni mtoto wa mama mchumba tu kwenye mapito ya utafutaji ukiona kitu unasimuliwa wewe leo jua mtu ashaachana na hizo mambo kitambo anasimulia ili mtu kama wewe upate funzo maana hujawahi kuona damu ikimwagika ukiwa unatafuta pesa
 
Huyu boss wao itakuwa alikuwa msomi yaani haamini kabisa mambo ya waganga,ingekuwa ni genge lingine la ujambaz lazima Umughaka na Mtatiro wangeoga dawa kwanza au wangepelekwa kwa Sangoma kuwekwa vizuri
Mbona walienda usukumani! Msome vizuri
 
Hawa Watu wanataka watafuniwe, wamezewe hadi chooni wasaidiwe... Hawataki Akili kuishughulisha. Jpo naamini kunatukio kali ndo stor itaishia
Kukimbilia Kenya

Kusambaza fedha bandia

Kuvua samaki ziwani bila uzoefu

Kuvamia nyumba ya Magige kupora fedha

Kujiunga NA makundi ya ujambazi

HAYO YOTE NI KUNUSURIKA KIFO BAADA YA KUFUKUZWA NYUMBAN.
 
Back
Top Bottom