Nilivyooa Kimasihara

Umetuinua sana tuliooa, tofauti ni process tu za kuoa
 
Enzi za JK vijana pesa walikua hawajui waweke wapi aisee.
Ulikula sana bata kijana, hujibana ujenge wala ujinga wa namna hiyo.

Hamna pisi ambayo ingechomoa kwa namna ulivyokua unatoa vibunda ni HAKUNA.
Hiyo kazi ilikua ni ndogo sana ila malipo uliyokua tayari kuyatoa ni makubwa.
 
Story nzuri sana hii, nyingine ni how i met my wife, ya kwako utatuletea lini?
mods wamegoma kukupa tofari
Hiyo nyingine sikuisoma, hizi ndio lovestories tunazotaka kusoma. Mimi siwezi kuleta visa binafsi mkuu.

Hem fanya kuwakumbusha basi.🤣
 
Hiyo nyingine sikuisoma, hizi ndio lovestories tunazotaka kusoma. Mimi siwezi kuleta visa binafsi mkuu.

Hem fanya kuwakumbusha basi.🤣
Kwahiyo sisi wengine tunaoleta visa binafsi tukisema tusilete huku patanoga kweli?
Waandikie barua pm mimi wamenigomea
 
Sasa bidhaa umeifungua mwenyewe lazima isiwe na makongrogesheni😂😂😂

Ukutano na mrembo wa sinza amekulo misolopoganzo ya mtaa mzima utanyooka na kushangaa na nafso yako😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…