LEARNED BROTHER
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 592
- 844
Asante kwa simulizi nzuri.
Nakutakieni kila lenye kheri katika safari ya maisha yenu.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria mkononi siyo!!!dah basi acha niendelee kushikiria cheo CHAPUTA
😂 😂 😂dah basi acha niendelee kushikiria cheo CHAPUTA
Ya mwanzo kabisa ni ya nini, haikuwa ya moto😂Dah! Achana na baba Cathe, ya jeshini unaunguaje?🤸
Ile ya kusikitisha? Kama ni hiyo basi ni ukweli 💯Ya mwanzo kabisa ni ya nini, haikuwa ya moto
Ya moto ilikuwa ipi, watu wakapuliza ila wakashindwa kuinywa🤣🤣Ile ya kusikitisha? Kama ni hiyo basi ni ukweli 💯
Nyie endeleeni tu kutunywesha hata juice tu, tunafurahia na kuburudika...Hapo kwa kweli sijui sababu mimi chai zangu haziunguzi ni ngumu kujua kama ni chai mtu anajua anakunywa tu juice
Point ya kuoa hapa ni kukuta 2nd year bado ana uzi ,huyu anafaa kuwa mke ,ulifanya usahili wa kutosha .Leo nimeona nishare hii story yangu.
Ilikuwa hivi, nilivyomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa boom la 7,000 kwa siku ghafla upate mshahara mnono. Acha tu, kabla sijajiset nikawa na marafiki wa kula bata weekdays mpaka weekends.
Nakumbuka tukitoka job ilikuwa unafika Bar unaagiza mchemsho wa kuku plus maji plus bia. Hiyo mpaka saa 6 to 7 ndio unaenda kulala. Asubuhi mapema job. Weekend ndo kabisa mnabadilisha viwanja tu. Kumbuka hapa nakaa gheto, sina familia sina majukumu wala nini.
Tulikuwa tunapewa 300,000 ya usafiri kwa mwezi plus vocha na marupurupu kibao [Enzi za JK]. Aisee yani hii hela ilikuwa ni ya kutumbua tu. Nikaanza kubadili totozi, nilizitafuna sana. Kuna siku nikagonganisha gheto [Hii story achaneni nayo]. Ila nikaja nikawatema wote, nikahama pale.
Sasa bana ikaja home nikaanza kupokea jokes kutoka kwa bi Mkubwa, mbona wenzio wameoa wanawatoto wewe mbona kimya. Mara usije nyumbani kama huji na mtu wa kumtambulisha n.k. Mi nikawa nacheka nacheka tu.
Long story short. Bi mkubwa alikuja kwa shughuli zake akafikia kwa ndugu, asingeweza kuja kwangu mana sijaoa naishi kisela sela tu. Mimi nikaenda zangu kumcheck huko huko kwa ndugu [Kaka yake]. Tukapiga sana story. Baadaye nikamtania uje uone napo ishi na umuone mtu wako unayetakaga kumuona. Wamama wabongo si mnawajua. Alitamani aje siku hiyo hiyo ila nikamwambia anakaa mbali hivyo aje jumamosi nitaenda kumchukua. Nikaona kumwambia namtania hapa itakuwa kesi. Kumbuka hapo sina demu wa kueleweka nachovya chovya tu. Nikasema sasa huu msala.
Nilivyotoka pale nikamcheck jamaa angu mmoja nikamsimulia msala niliosababisha. Jamaa alikuwa mhuni wa kupindukia. Akasema tulia wewe hili limefika kwa engineer tukutane ulete bia nishughulikie hilo. Kweli bana tukakutana tukapiga vyombo anasema sasa hapa ni kumtafuta demu yeyote presentable na kumwambia ishu nzima appretend tu. Then baadaye utasema mmeachana. Nikasema hii imekaa poa. Tukaanza kuwacheck mademu tofauti tofauti ila cha ajabu wote walikuwa wanatoa sababu kuwa wako busy hio weekend.
Baadaye tukampa hio kazi dada mmoja alikuwa na saloon pale Mwenge akasema nikimpata nitawajulisha. Hapa sasa ilibidi tuseme tunamlipa kwa hio siku yote. Dau ilikuwa yeye atapata 50,000 na huyo mtu atapewa 200,000/=. Siku ya pili Jioni natoka job nikaona yule dada anasema kuna chombo nimepata hapa tuma changu kwanza.
Nikasema potelea mbali nikamtumia 50k yake. Alivyoipata akanipigia akaanza lisala pale kuhusu mtoto mwenyewe kuwa ni mdogo wake na hategemei kama kuna jambo baya litatokea. Nikamhakikishia kuwa hilo asiwe na wasiwasi. Akasema njoo uongee nae. Huyo nikaenda Mwenge nikakutana nao wote pale saloon. Yule dada akanitambulisha akasema malizaneni kama kuna changamoto yule binti arudi kwake. Tumwite Allice.
Tuliongea pale nikamwomba niende nae pale Karabash tupige story mbili tatu. Ikumbukwe huyu binti alikuwa mrembo model ila wa kawaida tu. Tuliongea ongea pale nikajua kuwa ni mwanafunzi mwaka wa 3. Nikampa ratiba kuwa nitamchukua Jmosi asubuhi mapema nitamwacha home atapika pika then nitaenda kumchukua bi mkubwa. Akasema poa, akaniuliza mama anapendela chakula gani na other ABC's.
Basi bana tukakubaliana tupike ndizi nyama plus juice ya matunda. Akasema sasa itabidi tukanunue matunda hio asubuhi na niwahi kuenda kumchukua nikasema poa. Hio ilikuwa Alhamisi. Ijumaa jioni yule dada akanitumia text kuwa hilo zoezi hataliweza ameghaili kuja. Nikasema why umebadili ghafla na jana tumeongea vizuri? Akajibu amefikiria sana akaona hawezi na hawezi kuja. Nikasema poa. Nikamrudia yule dada kama anaweza tutafutia mrembo mwingine. Akasema poa nipe dakika chache. Ikapita dakika 10-20 akaniambia amempata ila anataka 500k. Nikasema basi tusitishe zoezi nitajua namna ya kufanya.
Nikiwa nimetulia nikamcheck tena yule dada wa chuo nikamwomba sana. Kama anahofu aje hata na rafiki yake. Baadaye sana akakubali ila kwa makubaliano kuwa naye lazima nimlipe. Nikasema poa.
Jumamosi asubuhi saa 1 piga simu haipokelewi piga sana mrembo hapokei. Nikaanza kuwa na option B nimwambie bi mkubwa kuwa nimepata emergency tunatakiwa kazini. Sasa pale home kulikuwa na familia kama 3 hivi na maji yalikuwa yanatoka mara moja moja. Nikaacha simu nikaenda kukinga maji nje. Saa mbili nacheck simu naona kuna missed call yake. Nikamcheck akasema sorry nilikuwa nimelala. Nikaomba ajiandae nikawachukue kama bado hajahairisha. Akasema niende atakuja kuoga kwangu. Nikasema poa.
Paa nikaingia chuoni kwao nikampigia akaja peke ake kumuuliza vipi rafiki yako akasema twende ila nakuomba unirudishe kama nilivyo. Tukapita sokoni hio saa 4 hivi tukanunua mazaga huyo home. Nikampiga shule ya kutosha awe tu na confidence na asimwogope yeyote.
Basi bana mtoto kafika gheto anacheka tu gheto langu lilivo la kihasara sana. Chupa za bia mpaka kwenye makochi. Story mbili tatu tukaanza kuweka mazingira sawa. Sasa hili Gheto lilikuwa chumba na sebule, chumba masta na kuna choo na bafu nje. Yeye akasema atatumia cha ndani mana nimemhakikishia atarudi kama alivyo. Nikasema poa.
Binti wa watu akapika supu nzito nzuri, plus chapati. Hapa alianza kupull triger. Ikumbukwe Jmosi nililala saa 7 na niliamka na hangover ya kutosha. Kwenye mbili tatu, anasema ukinywa bia asubuhi lazima upate supu mana hizo bia zitakudhoofisha. Kumuuliza umejuaje ninahangover. Akasema nilivoingia tu kwenye gari nilijua. Sasa ukinywa uoge upumzike usafi nitafanya mwenyewe. Nikasema poa.
Kweli bana nikaingia ndani usingizi wa kutosha plus supu ya moto nikashituka saa 6 hii hapa. Nafumbua macho mtoto anapanga nguo. Nikashindwa kumwambia aache nikamwacha aendelee. Basi nikawa namtania tania pale bana. Namwambia mbona kama nitashindwa kutimiza makubaliano ya kukurudisha kama ulivokuja. Akasema naomba nifanye kazi yangu wewe fanya zako. Nikaomba atoke nje nikaoge. Akasema kwani kuna shida ukienda kuoga ukaniacha nakupangia nguo zako. Nikasema wewe endelea na mimi naendelea. Nikaenda kuoga.
Bibi mkubwa si akapiga. Mrembo akajiongeza akapokea wakasalimiana akamwambia Guzman anaoga nitamwambia kuwa ulipiga. Natoka napewa taarifa kumwangalia huyu mrembo mnara unasoma 5G ila najikaza. Nikimwangalia anageuka anaona aibu. Nikaomba nivae aende sebuleni akagoma anasema umeniambia nipretend kwa nini sasa unaniingilia kazi yangu. Akaniuliza unavaa nguo gani. Nikasema hata sijui. Akasema nakuchagulia akachukua jinsi na t-shirt pale nikamtania mbona kama hupretend ila unafanya kama ukweli. Akacheka akatoka sebuleni.
Nikavaa pale nikamuaga naenda kumchukua bi mkubwa akasema sawa nirudie na zawadi nikasema poa. Nikampigia bi mkubwa anasema wote wameondoka kabaki nyumbani na HG na yeye anatamani kutoka. Nikamwambia nipe dakika 20 nitakuwa hapo. Kweli bana kufika tu naona ananisubiri nje ya geti. Akaaga pale tukaondoka. Nikapita sehemu nikanunua ma-apple tukaenda mpaka home.
Kufika pale nikamtambulisha kuwa yule dada ndo mkwe wako huyu. Allice alikuwa kavaa kiheshima na amebadilika balaa. Huku nyuma kaoga kajiweka vizuri mpaka balaa. Hee story zikaanza hee kwa nini humleti nyumbani umtambulishe mara sijui nini na nini utani mwingi. Nikasema wewe ndo utoe baraka hapa siku nikisema nakuja ndo ujue.
To cut story short, maza bana alikuwa amepiga picha zangu za utoto zilikuwa kwenye album [Watoto wa leo hamwezi jua] akaanza kumwonyesha pale mara huyu chautundu toka mdogo na amepigwa sana na mshua mara sijui nini. Nikasema mimi naona niwaache mpige story.
Hapo saa 10 jioni. Nikaenda zangu mtaa wa pili agiza bia zangu kadhaa. Saa 12 nikarudi naona wanaangalia TV wanaulizana maswali sijui nini na nini. Nikawajoin pale tukapiga story by saa 2 tukaondoka wote tukaenda kumpeleka kwa uncle [Alikofikia]. Kufika pale tukataka kumwacha aende sisi tugeuze. Hee akang'ang'ania lazima Allice asalimie ndugu. Tukasema isiwe kesi tukaenda ndani kufika pale kuna jopo la wananchi. Uncle, watoto wake, rafiki zake na ant akaanza kuwatambulisha pale. Mdada wa watu nikumcheck anakenua macho tu anatabasamu.
Uncle mtu wa utani sana akasema sasa umeleta mkwe chomeni mbuzi. Hii walitoka nayo huko walikoenda Kibaha huko. Aisee mara saa 5 usiku hii hapa. Tukapiga bia pale, Allice kajichanganya na wamama wenzie huko. Saa 6 tukawasha kagari hao, nikaenda moja kwa moja hostel nikamdrop nikamwambia vitu njoo uchukue kesho. Akasema poa. Nikamshukuru pale nikamchomolea 200k yake akagoma kupokea nikamlazimisha akasema atakuja kuchukua kesho. Ikumbukwe walisha peana namba na Bi mkubwa.
Mimi nikajoin jobo la wana tukapiga maji hadi saa 11 alfajiri ndo narudi home. Nikafika nikajilaza mpaka nikaja kushtuliwa saa 5 na Allice amekuja kuchukua vitu vyake. Kumbe alipiga sana simu haipatikani akaamua kuja moja kwa moja.
Nikamwambia apumzike kidogo nina usingizi akasema sawa anaenda kuosha vyombo fanya usafi sana akaanza kuchota maji ametoa na stool amekaa na wamama wenzie nje anapiga story. Nilivyooamka saa 7 hivi naona supu nzito amenunua chapati na alipita ananunua matunda ameweka pale. Aisee nikasema sasa mbona waliooa wanafaidi.
Nikamshukuru sana tukapiga mtori, nikaomba nioge nimrudishe. Nilivyomaliza akasema ataenda jioni kama ninaenda mahali niende tu. Yeye amepachoka hostel amepata marafiki wapya pale wa kubadilishana mawili matatu. Nikasema poa. Mimi nikaendelea kufanya kikazi flani kwenye laptop.
Yeye mara atoke ndani na kanga moja mara anitanie hivi wewe kweli ulikuwa huna mtu siku zote hizi, mpaka ulazimishwe. Mimi nikamwambia story ndefu. Mara maza kampigia, anauliza mwenzio mmewasiliana nae mana nampigia simu haipatikani. Akasema niko nae hapa mzima kabisa, akamwambia mshauri apunguze pombe umri wake bado mdogo. Na viutani utani pale. Mimi nawacheck tu.
Jioni kabla ya kumrudisha nikaomba nimhug tu mana amekuwa msaada. Mdada akagoma nikataka niforce mrembo aligeuka sura ghafla nikamwacha nikamuomba msamaha. Japo aliaanza kulia kuwa mbona nataka kutotekeleza tuliyoahidiana. Nikasema sorry. Nikampa ile 200k yake akagoma, akasema mimi nimekusaidia tu. Nikasema hapana kama huchukui hii hela naiweka mezani hapa na mimi sitakaa niichukue labda mwizi aje aibe. Kweli bana aliondoka bila kuchukua.
J3 mpaka J5 ilipita sikumtafuta, Alhamisi ikaingia sms namba ngeni mimi Allice naumwa toka jana. Duu nikampigia nikamuuliza uko wapi akasema niko hostel nikamuuliza umeenda hospital akasema sijaenda. Nikawasha kagari huyo hostel nikamwomba aje chini nimpeleke akapime. Akaja anacheka eti alitaka kujua kama nitamjali. Nikasema sasa naona tunataka kuzoeana vibaya. Nikasema twende tukale.
Hao tukaenda tukala, kwenye story story akasema alikuwa na test siku hiyo walivyomaliza wenzie wote wametoka akawa amebaki peke yake. Nikasema tukitoka tuende home nitamrudisha asubuhi akasema sawa ila kuna vitu lazima achukue hostel. Hao tukapita hostel then gheto. Kumbuka sijawahi mtongoza. Tukafika akauliza hela yangu kuna mwizi alikuja kuchukua nikasema hapana nimekuhifadhia. Siku hiyo tulipiga sana story.
Huyu binti alikuwa na boyfriend akiwa advance na walikuwa hawajawahi kukutana na alikuwa anajitunza kwa ajili yake. Lakini jamaa kiasi alianza kutomzingatia maana yeye alienda kusoma nje. Nikamwambia mimi nataka akija akuone uko kama ulivyomuahidi, tutalala ila usijali. Kweli bana tulilala mnara unasoma 5G ila nilijikaza kisabuni. Ila yeye alijua lazima nimtafune hiyo siku. Kumbuka tumelala mimi nimevaa boksa yeye yuko naked kabisa.
Asubuhi alisema hana vipindi nimwache nitamkuta nikasepa zangu. Jioni nikapita zangu kwenye vikao vyetu nimekesha mpaka saa 2 narudi namuona yuko sebuleni na kanga kajiweka vizuri mtoto ananisubiri. Akanipokea begi, akaniambia ukaoge maji yapo bafuni. Nikazama ndani. Aisee sijui machozi yalitoka wapi niliona napata machozi ya furaha.
Yule binti alikuwa amepuliza ndani airfresh katandika shuka mpya amefua nguo zote. Yaani acha tu. Nikaoga nikavaa bukta nikaenda sebuleni naona kapika wali plus nyama roast, matunda, juice. Tukala pale, muda huo wote namzingatia. Nilivyomaliza kula akaniambia G ninashida kubwa naomba unisaidie, najua utagoma ila naomba kama hujali. Kumuuliza shida gani.
Akajibu, G mimi ni bikra, sijawahi kufanya ila marafiki zangu wakipiga story huwa na mimi natamani ila sikuwahi kupata mtu sahihi. Naona wewe ni mtu pekee kwa sasa unaweza nisaidia. Usijali kuhusu huyo boyfriend. Aisee ile sauti tu mnara unasoma 5.5G inaelekea 6G. Ikumbukwe huyu binti nilishaanza kumzingatia. Nikakataa kabisa kuwa siwezi hili, na sitaki kuvunja ahadi yangu kwake na kwa dada ake. Akanyanyuka kwenye kochi akaja karibu yangu, akaniuliza niambie ukweli G mimi nina kasoro gani? Hata nisikuvutie hata kwa nukta moja. Hapo kasha sogea kabisa, na mtoto wa moto balaa. Sikusema neno nikamshika mtoto, nikambeba mpaka ndani. Aisee ilikuwa fire sana hiyo siku. Japo mtoto alikuwa mwoga mwoga ila tulichafua shuka kweli kweli.
Asubuhi, nakumbuka ilikuwa Jumamosi, naamka naona yupo sebuleni amekaa. Nikaenda nikampiga busu nikamuuliza kulikoni akasema aliumia ile jana kwa hiyo alienda kutembea kidogo nje. Akanishukuru sana. Nikaenda kuchukua vitafuno tukapika chai tukanywa. Nikasema aende Jumatatu asubuhi hostel akasema sawa. Siku hiyo hiyo nikaomba tuwe wapenzi nimempenda na bi mkubwa alimpenda sana. Alinyanyuka akanikumbatia akaniambia siwezi kukataa hilo nilishakupenda toka day 1, nilisema moyoni huyu ndo mme wangu.
Ukawa usiku ukawa mchana. Mpaka leo tuna watoto wawili. Nampenda sana mke wangu. Alinibadilisha sana, nilipunguza pombe nikaja nikaacha.
Ndoa tamu, Ndoa sio Utapeli. Vijana oeni.
Mwisho.
Enzi zile Lite zilikuwa kila kitudaah umenichekesha mkuu, kwamba lite sio kula bata[emoji28][emoji28][emoji28]
Naaam😂Ndo umetoka Nje ya nchi nini mkuu??😂😂😂
Mke kafata gari na maokotoTimu kataa ndoa hii story imewaumiza sana.
Umeonesha wazi wazi faida za kumpata mke sahihi na kumpata mke sahihi inawezekana.
Matapeli😂
story iko bomba kabisLeo nimeona nishare hii story yangu.

NakaziaAlice ni warembo
Watu wanaoana kimasihara ila sio ki movie movie hivi 😁😁Leo nimeona nishare hii story yangu.

🤣🤣🤣🤣🤣wajqUmeharibu hapa tu.