Nilivyopata faida ya 800k kwa Biashara ya Kondoo

We nae umekuja na hivyo vingereza tu....sioni cha tofauti na alichokieleza mtoa mada, Utakuwa mhaya wewe sio bure
Hiyo ni kanuni ya wahasibu watunza vitabu vya fedha. Ameelezea kitu very deep hapo ila tu haujamuelewa. Yaani alichofanya ni kusema unachukua hela ya mauzo uliyopata ya kondoo uliouza, halafu unatoa kiasi cha pesa sawa na thamani ya kondoo waliobakia yaani ndio huitwa closing stock, jibu utakalopata ndio unatoa sasa gharama za uendeshaji kinachobakia ndio faida yenyewe ambayo huitwa netprofit.
 
Kama umewaelewa wanaochallenge hiyo idea ya mleta uzi wanachosema wao ni kuwa unaweza kusema umepata faida ya kiasi fulani Kwenye biashara unayofanya halafu nyuma ya pazia kuna maisha yako yamesimama yaani tunasema opportunity cost yako ni kubwa, kwa maana ume sacrifice vingi kupata kidogo.
 
Ulitumia Dawa gani y kunenepesha kila mwezi ulizo kua unawapatia kondoo.?
Aiseee mbona huyu brother hajibiwi swali lake hebu msaidieni anataka kujua mlilisha nini hao makondoo wakanenepa. [emoji23]
 
Anhaa kama walimaanisha hivyo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…