[emoji3][emoji3] mchungaji angekuwa firauni siku hiyo. Mke anauma sana.joshua_ok, Daaahhh, uliokoa marinda kimasihara sana.
Aloooo story hii ina mamboo kibao, mama mchungaji anachepuka na castle lite anapiga duuuh si mchezo.Nilikuwa natafuna mke wa mchungaji kila Ijumaa (ile mida ya mchana). Naenda namchukua pale jengo la VIVA (ofisi kapuni), naenda mtafuna Namnani mpaka saa 11 jioni namrudisha kwake Ubungo Maziwa saaafi.
Sasa kumbe Baba Mchungaji anatufuatilia. Sasa siku ya siku natafuna chumbani, bibie akawa anataka Castle Lite; napiga simu reception hawapokei, nikavaa nguo ili nikamchukulie mwenyewe. Ile nafika reception namuona Mchungaji na ma-camera kibao, aisee nikaunga mazima hata gari nikalisahau (nikalifuata kesho yake alfajiri). Sijui kilichojiri huko.
Sumu haswa.
Muda wote unawaza kutafutwaukiwa unakula mke wa mtu unakuwa huna amani kabisa.
wengine ving'ang'anizi. niliwahi kugandwa na mke wa mtu mumewe akiishi mbali. sitasahu,anakuja mpaka guest nampiga vitu lakini moyo unawaza kudakwaMuda wote unawaza kutafutwa
Kwa kwel huwez kuwa na Aman never
Mbona wanawake wapo wengi tuu kwa nn utafute matatzo??
Nilikuwa natafuna mke wa mchungaji kila Ijumaa (ile mida ya mchana). Naenda namchukua pale jengo la VIVA (ofisi kapuni), naenda mtafuna Namnani mpaka saa 11 jioni namrudisha kwake Ubungo Maziwa saaafi.