and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Nilikuwa natafuna mke wa mchungaji kila Ijumaa (ile mida ya mchana). Naenda namchukua pale jengo la VIVA (ofisi kapuni), naenda mtafuna Namnani mpaka saa 11 jioni namrudisha kwake Ubungo Maziwa saaafi.
Sasa kumbe Baba Mchungaji anatufuatilia. Sasa siku ya siku natafuna chumbani, bibie akawa anataka Castle Lite; napiga simu reception hawapokei, nikavaa nguo ili nikamchukulie mwenyewe. Ile nafika reception namuona Mchungaji na ma-camera kibao, aisee nikaunga mazima hata gari nikalisahau (nikalifuata kesho yake alfajiri). Sijui kilichojiri huko.