Nilivyoponyoka fumanizi namnani

Nilivyoponyoka fumanizi namnani

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Nilikuwa natafuna mke wa mchungaji kila Ijumaa (ile mida ya mchana). Naenda namchukua pale jengo la VIVA (ofisi kapuni), naenda mtafuna Namnani mpaka saa 11 jioni namrudisha kwake Ubungo Maziwa saaafi.

Sasa kumbe Baba Mchungaji anatufuatilia. Sasa siku ya siku natafuna chumbani, bibie akawa anataka Castle Lite; napiga simu reception hawapokei, nikavaa nguo ili nikamchukulie mwenyewe. Ile nafika reception namuona Mchungaji na ma-camera kibao, aisee nikaunga mazima hata gari nikalisahau (nikalifuata kesho yake alfajiri). Sijui kilichojiri huko.
 
Aloooo story hii ina mamboo kibao, mama mchungaji anachepuka na castle lite anapiga duuuh si mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda wote unawaza kutafutwa
Kwa kwel huwez kuwa na Aman never
Mbona wanawake wapo wengi tuu kwa nn utafute matatzo??
wengine ving'ang'anizi. niliwahi kugandwa na mke wa mtu mumewe akiishi mbali. sitasahu,anakuja mpaka guest nampiga vitu lakini moyo unawaza kudakwa
 
Nilikuwa natafuna mke wa mchungaji kila Ijumaa (ile mida ya mchana). Naenda namchukua pale jengo la VIVA (ofisi kapuni), naenda mtafuna Namnani mpaka saa 11 jioni namrudisha kwake Ubungo Maziwa saaafi.

Sasa kumbe Baba Mchungaji anatufuatilia. Sasa siku ya siku natafuna chumbani, bibie akawa anataka Castle Lite; napiga simu reception hawapokei, nikavaa nguo ili nikamchukulie mwenyewe. Ile nafika reception namuona Mchungaji na ma-camera kibao, aisee nikaunga mazima hata gari nikalisahau (nikalifuata kesho yake alfajiri). Sijui kilichojiri huko.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fumanizi ulisikie Kwa mwenzio
 
Back
Top Bottom