Nilivyoponyoka fumanizi namnani

Ila hizi dini bhana, mama mchungaji anapiga pombe. Unakuta na baba mchungaji anaiba sadaka. Aisee!
Nilishawahi kutongozwa na baba paroko.
Tulikaa seat moja kwenye fast jet ya mwanza dar.
Halafu alikuwa mzeee kinoma.
Mzee hasa.
Nilimpa no ya simu fake pale pale akaipiga.
Nikajifanya nimekosea.
Nikampa ya ukweli.
Sasa nikawaza huyu mzee yaani mzee haswa ngozi imeshaachana na mifupa ana mapengo anataka anipe kesi.
 
Vp ulimpa utamu?
 
Kwani unakata sana mauno hadi uliogopa?
 
Vp ulimpa utamu?
Hapana aisee.
Siku moja alinipigia kichwa kilikuwa kimeshawaka moto nilimpa maneno yake hakupiga tena.
Sijui kama yupo hai ni zaidi ya miaka 8 nyuma.
 
Hii chai nitainywa kwa vibali vya To yeye , cocastic Demi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…