Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka kama mwehu vileUngebaki tu wachungaji hawawezi kukutatua marinda wanamuogopa mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka kama mwehu vileUngebaki tu wachungaji hawawezi kukutatua marinda wanamuogopa mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hizi dini bhana, mama mchungaji anapiga pombe. Unakuta na baba mchungaji anaiba sadaka. Aisee!Ndio mjue Pombe ni rafiki wa kweli what if asingetaka Castle Light Mama mchungaji?
[emoji23][emoji23]Mwanafunzi na Mke wa mtu ni sweetest poison.
Saizi malindaz yangekuwa yanapiga debedesha kwenye boxer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dadeki walevi kwa uhalalishaji ni noma.Ndio mjue Pombe ni rafiki wa kweli what if asingetaka Castle Light Mama mchungaji?
Tulikuaga na katekista anakata nyagi kichizi.Ila hizi dini bhana, mama mchungaji anapiga pombe. Unakuta na baba mchungaji anaiba sadaka. Aisee!
Nilishawahi kutongozwa na baba paroko.Ila hizi dini bhana, mama mchungaji anapiga pombe. Unakuta na baba mchungaji anaiba sadaka. Aisee!
Vp ulimpa utamu?Nilishawahi kutongozwa na baba paroko.
Tulikaa seat moja kwenye fast jet ya mwanza dar.
Halafu alikuwa mzeee kinoma.
Mzee hasa.
Nilimpa no ya simu fake pale pale akaipiga.
Nikajifanya nimekosea.
Nikampa ya ukweli.
Sasa nikawaza huyu mzee yaani mzee haswa ngozi imeshaachana na mifupa ana mapengo anataka anipe kesi.
Kwani unakata sana mauno hadi uliogopa?Nilishawahi kutongozwa na baba paroko.
Tulikaa seat moja kwenye fast jet ya mwanza dar.
Halafu alikuwa mzeee kinoma.
Mzee hasa.
Nilimpa no ya simu fake pale pale akaipiga.
Nikajifanya nimekosea.
Nikampa ya ukweli.
Sasa nikawaza huyu mzee yaani mzee haswa ngozi imeshaachana na mifupa ana mapengo anataka anipe kesi.
Hapana aisee.Vp ulimpa utamu?
Kwani unakata sana mauno hadi uliogopa?
Hii chai nitainywa kwa vibali vya To yeye , cocastic DemiNilikuwa natafuna mke wa mchungaji kila Ijumaa (ile mida ya mchana). Naenda namchukua pale jengo la VIVA (ofisi kapuni), naenda mtafuna Namnani mpaka saa 11 jioni namrudisha kwake Ubungo Maziwa saaafi.
Sasa kumbe Baba Mchungaji anatufuatilia. Sasa siku ya siku natafuna chumbani, bibie akawa anataka Castle Lite; napiga simu reception hawapokei, nikavaa nguo ili nikamchukulie mwenyewe. Ile nafika reception namuona Mchungaji na ma-camera kibao, aisee nikaunga mazima hata gari nikalisahau (nikalifuata kesho yake alfajiri). Sijui kilichojiri huko.
😂😂kesi hiyo ...mi simo
Heri ya mwaka mpyaDhambi jamani asa mtu ngozi ishaachana na mwili wa kazi gani?
Toy yeye rubani mwandamizi😂😂kesi hiyo ...mi simo
Hataree😂Toy yeye rubani mwandamizi
Kwani umefumaniwa tena? Mr joshuaFumanizi ulisikie Kwa mwenzio
Vp mwana salama?Hataree😂
Niko poaVp mwana salama?
Ushasikia wapi jambo hilo likawa ni dhambi kwa mwanamke?Dhambi jamani asa mtu ngozi ishaachana na mwili wa kazi gani?