Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Hii ya kujifanya shoga inalipa sana siku hizi mambele

Ningekuwa kidume tayari ningejigeuza cocastic nile bata Canada

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hii mbaya,, kuna masheh wawili wa zenji walikimbilia canada wakipose kama gay couple wametoroka ukatili wa mashoga huku Tz.
Mahakaman wakaambiwa wakiss mouth to mouth kuprove ni mashoga

Long story short tupo nao bongo dakika hii
 
Nipo Ujerumani nashangaa sana politics ya hawa jamaa wakimbizi waliokimbia nchi zao kwa sababu ya vita wanalipwa kila mwezi na serikali mpaka wapate kazi. Wana special case kwa nchi ambazo zina sheria kali za mashoga wanawatreat mashoga kama wakimbizi. Nimekutana na jamaa wengi wa Uganda wamepewa refuge kwa kujifanya mashoga. Na wanalipwa kila mwezi aisee.
 
Kuwa makini usije ukaingia mtegon
 

Story yako “very interesting” tatizo ni summary yako [emoji1787] QB hapo project hizo wanugu hali ngumu sana ulitoka salama ? Maana miaka hiyo siyo mchezo sasa hivi angalau kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…